Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa Wasukuma sisi karibu kila kitu ni mboga. Ali mradi ugali ulike tu 😁😁😁

Michembe hizo ukizila na maziwa mgando (maliboto) nakwambia mwezi mmoja huchomoi. Utafumuka tako mpaka ushangae mpwa

Huyu dogo namleta Oktoba au Novemba. Kufikia Desemba tumalizane maana anavyozidi kuchelewa mwishowe atamkuta mwana si wake...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muache ashangae akute watu washanibeba
Yan michembe ni noma ukila unashau Kwa muda kma utakula tena sema mm napenda na maziwa fresh hapo kwenye tako ndo penyew mpwa ngoja nikazane kula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hali sio nzuri
 
Hizo kitu tulilishwa siku moja Niko advance seminary ngoma kama zina sukali nyingi


Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mipombe ndo inawaharibu sana kaibika hatari

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Na pia kuna wanaume tu wenye roho mbaya wanaweza kum-target mtu na date rape drug ili kumwaibisha au kulipiza kisasi. Ndo maana kama kinga huwa haishauriwi kuacha kinywaji chako hovyo hovyo bila uangalizi wako. Maliza chote ndo uende chooni au ukikiacha ukirudi basi agiza kingine ulichokiacha achana nacho.

Kwa walioona hiyo connection binti yuko macho anatoa ushirikiano au ni yale yale ya Uwoya mtu kazima?

Inasikitisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…