Alafu nyie hamuoni muandiko wa kiume kabisa, kuna dada mmoja humu namtazama tu kuna mahala kaniita live dada huku anajua mie ni Me.. Namvutia pumzi.. aingie kwenye boksi, nimuwashe π€ π€ π€
πππ.. Ndio maana acha nipambanie hawa wasaidizi wa kazi za nyumbani, leo bi mdashi kaleta wengine wawili, nahisi competition na madogo itapungua