Niko hapa nimechillDada Depal weekend wapi?
View attachment 2359747
National Anthem beer inanyweka Nungwi hafu kesho Taifa kuona Makolo wakidundwa.
Hapana mawardat kanisingizia eti nina gonoπ€ π€ π€ Na mawardat nini mzee.. Nipo nimemaliza kuwafulia madogo uniform, nasubiri tarifa ya habari ya bure hapa na msosi
π€ π€ π€ Umeachika kwaiyoHapana mawardat kanisingizia eti nina gono
Wee mrembk lizzy vipi ndio umejikatia tamaa kabisaπ€ π€ π€ Umeachika kwaiyo
Bora mie nimeamua kuishi kama padrii, maana hela sina, sina gari, sina iPhone, sina vyanzo nashinda home tu na madogo tunacheza draft.. Acha nizogoe hapa nadae nilale na pumbu zangu
π€ π€ π€ Lizzy sio wa daraja langu, mie acha nipambane na beki tatu wa hapa nyumbani, ana mzigo kweli kweli, sema ndio tuna mchuano na madogo nao wana mtaka yani ni vita kali sanaWee mrembk lizzy vipi ndio umejikatia tamaa kabisa
π€£π€£π€£π€£ Yaani unashindwa kuwapiga biti madogo umkule hausigelo kweli. Acha uzembeπ€ π€ π€ Lizzy sio wa daraja langu, mie acha nipambane na beki tatu wa hapa nyumbani, ana mzigo kweli kweli, sema ndio tuna mchuano na madogo nao wana mtaka yani ni vita kali sana
Madogo wana vyanzo, maana wao madogo wanapewa pocket money za shule mie sina hata ganji nikitumwa sokoni ndogo ndogo sana, napata hela ya kuvutia fegi na kunywea tangawizi πππ madogo kama leo yalitoka kwenda out kama familia na house girl so yamejikusanyia point.. Bwanaa wee maisha haya adabu ukikosea yana kubana ukose kila kitu kizuri,π€£π€£π€£π€£ Yaani unashindwa kuwapiga biti madogo umkule hausigelo kweli. Acha uzembe
mzabzab siunajua lakini National Anthem anaongea kinyume nyume??π€ π€ π€ Lizzy sio wa daraja langu, mie acha nipambane na beki tatu wa hapa nyumbani, ana mzigo kweli kweli, sema ndio tuna mchuano na madogo nao wana mtaka yani ni vita kali sana
Aah vitu vya washua hivyo
Weekend iko poa kabisa huku jiraniSalama jirani, weekend inaendaje kwako.
Hayo ndyo magonjwa ya kiume sasa siyo mwanaume unaumwa malariaNilisafiri kikazi, nimekaa karibia miezi sita bila kufumania nyavu, kulikuwa na mwadamu mmoja kisu kweli kweli. Siku ya mwisho nikasema acha nijaribu pindua a meza ili hata akinitoa nishai sipo nitakuwa nimesepa. Ngoma night kiwanja flani nimetingisha kiberiti kikawaka. Asubuhi nimeanza safari kati kati ya safari nahisi vitu vinatoka tu, gusa kama kufuta kiaina, wapi nikasema acha nizame toilet kujiangalia hivi naona maji meupe mazito nikasema hii nini? Badae nika share na jamaa yangu tulisoma nae akanielezea nikaona tayari device connected.
Mtihani ukawa narudije nyumbani, maana mwenzangu ilikuwa ukifika anaruka mazima kucheki kama umetumika au vipi... Ilibidi niue safari kwa emergency kwanza nikapate tiba, kula sindano kula drip saba ili kuondoa uchafu wote na kusafisha damu. Ndio Nikarudi home kwa ujasiri.. Ujue hata wewe mwenyewe mtibiwaje unaona hayaa.. Niliumia sana nikasema siku moja imekuja niabisha.. ile kitu unaoneka mbwaaa tu hata kama umeipata kwa kuepeana mikono na mtu mwenye nayo.. maana kama mikono ya mtu inajosha na yupo nayo mkashikana unaweza chukua kifurushi kiroho safi
MALCOM LUMUMBA
mzabzab ni kweli haya jobless mwenzangu πππ au tu pm melo kuhusu kuomba kazi.. Labda na sie tutakuwa watumzabzab siunajua lakini National Anthem anaongea kinyume nyume??
haha , mamboMlivyo tulia kama mpo busy na mahusiano vile
Kidogo nireport police umepotea..Niko hapa nimechill
Hujachenjika hapo Nungwi? Au ushakomaa
Salam zao aisee, enjoy ur trip
Haha!!Mlivyo tulia kama mpo busy na mahusiano vile
π€£π€£π€£ Na unabakisha
ππππππ Una hatari, upate hilo alafu ukatibiwe na hizi local hospital sindano zake nasikia zinauma hizo unaweza galagala na kujinyea hapo hapoHayo ndyo magonjwa ya kiume sasa siyo mwanaume unaumwa malaria