National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Kwani kutupa ndoa ndio uadui jamani, si kama hivi nimepigwa chini, tunaendelea na ushangazi na ujomba tuu 😒😒😒 na magoti nimepiga lakini wapiiiWw si ndyo ulitupa ndoano![]()
Kwani kutupa ndoa ndio uadui jamani, si kama hivi nimepigwa chini, tunaendelea na ushangazi na ujomba tuu 😒😒😒 na magoti nimepiga lakini wapiiiWw si ndyo ulitupa ndoano![]()
Mshaanza kunionea wivu kisa avatar yangu ina tall dark and handsome guy …Daah umeshinda 🤣🤣🤣🤣 🙌
HeeAmen
PM mpole mwenyewe hebu njoo na kamoood hakaNipe invitation nije niwafanyie fujo![]()
Au ulimdanganya unaenda kwake hukuenda ndyo maana kakununia nenda kwakeKwani kutupa ndoa ndio uadui jamani, si kama hivi nimepigwa chini, tunaendelea na ushangazi na ujomba tuuna magoti nimepiga lakini wapiii
Nimemuomba msamaha, kagoma basi. 🤦🤦 Acha nisonge mbeleAu ulimdanganya unaenda kwake hukuenda ndyo maana kakununia nenda kwake
Rol kumbe! Sasa nimeherewa! Ndiomana kuna komenti nimesoma amesema jamaa sasa mie mwanzo meona rimama kha! umbea kazii!! in nshomiles voiceAmekwambia jamaa
Unapenda umbea mpaka huoni vizuri 🤣🤣🤣🤣
hahhaa mpare wewew![]()
![]()
![]()
![]()
Usiku mwema shemeji![]()
😣😣😣😣 Shangazi Antonnia 👋👋👋Lol kumbe! Sasa nimeerewa! Hapo nimeelewa sasa Ndiomana kuna komenti nimesoma amesema jamaa sasa mie mwanzo meona Limama kha! umbea kazii!!
njooNije pm![]()
Black beauty 😍Mshaanza kunionea wivu kisa avatar yangu ina tall dark and handsome guy …
Yan naomba ukome hapo hapo 🤣🤣🤣
Leo naja kuku 😊😊😊.. Nime i missMshaanza kunionea wivu kisa avatar yangu ina tall dark and handsome guy …
Yan naomba ukome hapo hapo 🤣🤣🤣
PoleRol kumbe! Sasa nimeerewa! Ndiomana kuna komenti nimesoma amesema jamaa sasa mie mwanzo meona rimama kha! umbea kazii!! in nshomiles voice
Unasemaaaaaaa?Leo naja kuku 😊😊😊.. Nime i miss
Napendwaaaaaaaaa!!!! Napendwaaaaaaaa!!! Afu napendwaaaa tenaaaaaa!!!! Jamaaa fulaaani hivi, sijui nimuelezejeeeeee!!!Tupe ata kashort story na sisi tuenjoykama wewe










Ukomee hapo hapo ulipoanzia 🤣Black beauty 😍
Aki nimemuelewa 🤣🤣