Umetaja Ghorofa la Masaki, isingekuwa kukutana na Vijana wa Mjini saivi ningekuwa nalo hilo Ghorofa.
Shida hao Vijana wa Mjini si waliniuzia Kiwanja pale Coco Beach Maji yakiwa yamekupwa, Ile baadaye napeleka mafundi kuanza Ujenzi si nikakuta Uwanja umejaa Maji π
wee yuleeee alinitakaaaaaa ila kanikutaaaaa sina hulka na magume gume ya duniani, mwanzoni kabisaaaa alikuwa anakuja kwa space, nakumbukaa had aaanze bifu, eti alitaka story of ma lifeee,. Na nime date na watu wangapiiiii?? Kheeeeeh nkaona huyu analeta mambo meusi.
Nkampaaa cha mbavuuuu ndo akaaanza kuletaaa kisirani chakeeee.
Umetaja Ghorofa la Masaki, isingekuwa kukutana na Vijana wa Mjini saivi ningekuwa nalo hilo Ghorofa.
Shida hao Vijana wa Mjini si waliniuzia Kiwanja pale Coco Beach Maji yakiwa yamekupwa, Ile baadaye napeleka mafundi kuanza Ujenzi si nikakuta Uwanja umejaa Maji