Tusamehe basi π€£ π€£π€£πππ kwendeni huko madebe yaso na kitu
Aendelee kumjengea babe ake
Nimerudiii
Nikaenda na village kutii haja ya moyo wanguβ¦
Selfika basi dogoSiendi
Nilikwenda Ile mitaa baada ya Pension yangu kutoka pamoja na kupata hela yangu niliyouza Mazao.Kwahiyo babu nawe unaendaga kufichwa Tabata? Tena si ajabu ni pale Tabata Bima wenyewe wanapaita Tabata Baima π₯Ή pakakubamizia hadi bajeti ya wajukuu
Hapo kiwandani mtoto,ndipo zinapozalishwa malighafi..au nasema uongo mzee Grahams ?Mbona hapo pametuna? Umeficha nn babu
Niwie radhi Mjukuu, kuanzia kesho nitakuwa navaa Msuli tu kuepuka hizi dhahama. Hizi Suluali za Vijana mwisho Leo kuzivaa πPozi matata sana hilo babuu Ulivoachia miguu hapo kati sasa pako relaxxeeedd penyewe hadi aibuuu nimeona mjukuu Hakyananiππππ€π€
Msuliiiii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!Niwie radhi Mjukuu, kuanzia kesho nitakuwa navaa Msuli tu kuepuka hizi dhahama. Hizi Suluali za Vijana mwisho Leo kuzivaa π
Thanks MjukuuMsuliiiii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!
Mida mida hivohivoo ndio vizuri babuu Umependeza hatareeeee!!βοΈ
Thanks Mjukuu
Msuli huwa unanikaa vyema sana hasa nikiwa nimekaa Kibalazani na wakati mwingine nikiwa shambani nalima.
sasa msuli kwahilo pozi utauaaaaaa vibee babuuu weka mbali na watrootrooππ!!π€Thanks Mjukuu
Msuli huwa unanikaa vyema sana hasa nikiwa nimekaa Kibalazani na wakati mwingine nikiwa shambani nalima.
Until youβve some sense π€Tusamehe basi π€£ π€£π€£
Alooo didi ake unae mawe, unafanya shopping village supermarket
Ulitaka selfie hiyo juu nimetupia tayari π€ π€Until youβve some sense π€
Village ile bakery yao ni moto π₯ sina hela mie π€£π€£π€£
utuache ndio
Twende century cinemautuache ndio
He heee babu we mbona unataka kuwa kama wale ma babu wa twitter na vijana wao π₯ΉNilikwenda Ile mitaa baada ya Pension yangu kutoka pamoja na kupata hela yangu niliyouza Mazao.
Kilichomkuta Mhe. Diwani na Mimi kilinitokea π
Umekataa kunenepaNahamia man u
Chelsea hamna timu View attachment 2357857
Iko wapi? SijaonaUlitaka selfie hiyo juu nimetupia tayari π€ π€
πππIko wapi? Sijaona
ya wapi hukoTwende century cinema
UnazoooUntil youβve some sense π€
Village ile bakery yao ni moto π₯ sina hela mie π€£π€£π€£