Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Ahahahha umenikumbusha Hadith ya sungura baada ya kuzirukia ndizi bila mafanikio akaamua kusrma sizitaki mbichi hizi..Weeehhh Im happy with Tonniah kwanza Misri nishatokaaa I'm a born again person sikati hekaheka na Mahondaw wao!! hahah
Tuendelee kuselfika Mkuu
Saivi mapema, wait jioni jioni hivi🤠🤠🤠🤠 Nasubiri 🍑🍑
🤠🤠🤠 Mkuda huyo mie nasikiliza music yeye ananipigia..Pokea simu emu wewe I love u too
La jioni traaaamu 🤠🤠Saivi mapema, wait jioni jioni hivi
Kama lile la siku ile la kijani 😋La jioni traaaamu 🤠🤠
Mnajifanya wambea kumbe mna mashost wanafki 😂😂😂😂Hao watu nao mafriji yao hayagandishi kha 🤣🤣
Nasubiria hiyo next month nikuone kama utabadilika kweli.
Kuhusu wa kishua aah hilo linajulikana, halipingiki
Yah,antonnia wa kitambo Sana,enzi hizo wengine tunaingia km guest userEti kikongwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Madame umejiunga zamani , kipindi wengi wetu humu badi tunafuta kamasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Cha ajabu unakuta tupo kufight na le boss leidee..dunia haina adabu.
🤠🤠🤠 Lilishika tundaaa eehKama lile la siku ile la kijani 😋
Umeona eeehhhhhh!!!!! Santo sana kwa blessings hakika mchana wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!!Ahahahha umenikumbusha Hadith ya sungura baada ya kuzirukia ndizi bila mafanikio akaamua kusrma sizitaki mbichi hizi..
Yes,ya kale yamepita tuselfika,lunch time sasaView attachment 2357810
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ahahahha we jamaa kiboko Sana asee..unajua huwa nakufahamu kupitia mwandiko wako kwa sababu nishaujua ila unabadili IDs km nguo!!!Sina hata wiki nabadilisha id, ukiona mkojo wa kuku ujue ndio ID mpya.. Sikaagi na ID aisee
Jf sehemu ya kufurahi na kupiga ma hadithi tuAhahahha we jamaa kiboko Sana asee..unajua huwa nakufahamu kupitia mwandiko wako kwa sababu nishaujua ila unabadili IDs km nguo!!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna uwezekano Depal akawa anapiga mbege mchana maana hachelewi kukichafua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila didi ake umekaa kishari shari ujue
Asa mambo ya kukujadili sijui vikao yametoka wapi lakini.
Mbona unakua na uswahili hivo akati unakaa ushuani
Kwani wewe lenie starehe yako nn hapa duniani?Kwani shida huaga ni nini [emoji1787][emoji1787]
Au anatembeaga na kichupa kaweka kvant 😃Kuna uwezekano Depal akawa anapiga mbege mchana maana hachelewi kukichafua
Mwandiko wake unajaaga kisirani Sana huyu mmeru[emoji28][emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ebooo[emoji28][emoji28][emoji28]Ndio, unatumia vocha zinazopostiwa huku
Me starehe yangu kubwa ni kula msosi mzuriKwani wewe lenie starehe yako nn hapa duniani?
Mwenzio huyo starehe yake ni kubadili majina [emoji28]( joking)
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kisirani ila mtamu hadi kisogoni, na ukipewa wakati mtu ana kisirani anakupa yote maana anakususia kabisa 🤠🤠🤠Kuna uwezekano Depal akawa anapiga mbege mchana maana hachelewi kukichafua
Mwandiko wake unajaaga kisirani Sana huyu mmeru[emoji28][emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sema kweliKisirani ila mtamu hadi kisogoni, na ukipewa wakati mtu ana kisirani anakupa yote maana anakususia kabisa 🤠🤠🤠