Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti kikongwe🀣🀣🀣
Ila Madame umejiunga zamani , kipindi wengi wetu humu badi tunafuta kamasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila Cha ajabu unakuta tupo kufight na le boss leidee..dunia haina adabu.
Mie pia wa zamaniii Wengi wenu humu nimesahisha pepa zenu za NECTA kuanzia form4 hadi form 6 kabisaa
 
Basi sitabadili avatar mie humu
We Depal kubadili badili avatar unashusha nyota ujue, uache hyo tabia
Nabadiliii
Tena naweka ambayo itawafanya mukae muanze kuweka vikao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muje na matipo kuijadili
Na zitakuwa ni shida zenu
Wazee wa kuteseka na yasio wahusu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sina hata wiki nabadilisha id, ukiona mkojo wa kuku ujue ndio ID mpya.. Sikaagi na ID aisee
 
Nabadiliii
Tena naweka ambayo itawafanya mukae muanze kuweka vikao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muje na matipo kuijadili
Na zitakuwa ni shida zenu
Wazee wa kuteseka na yasio wahusu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣
Ila didi ake umekaa kishari shari ujue

Asa mambo ya kukujadili sijui vikao yametoka wapi lakini.
Mbona unakua na uswahili hivo akati unakaa ushuani
 
🀣🀣🀣🀣
Ila didi ake umekaa kishari shari ujue

Asa mambo ya kukujadili sijui vikao yametoka wapi lakini.
Mbona unakua na uswahili hivo akati unakaa ushuani
Si hao mnaokaa nao wanakuja kuniambia πŸ˜‚πŸ˜‚ eti sijui avatar yangu inafanana na ya memba mwingine.. sasa inawahusu nini?

Mimi ni mshua with full of uswahili lkn sio wa kishamba πŸ€—

Sema next month nitakuwa mshua full full
 
Si alizembea mwenyewe
Akajikoroga kubadili

Tukamlilia sana akakataa...
Kumbe punde si punde wahuni wakamlia timing.
Unajua kuna watu Ni maarufu sn humu mmoja wao ni huyo Antonnia kupitia ile I'd yake ya zamani.Na endapo ingekuwa jf unatambulika kwa email km Twitter Nina uhakika Kuna IDs maaraufu zingepata maparody,wahuni wangeweka avatar na username km wewe Kumbe parody,ila huku ukijaribu kujiita Satoh Hirosh unaambiwa 'this username has already taken' unajikuta huwezi kujiita Hilo jina

Huyo anttonia alifanya kosa kubwa sn kujaribisha kubadili ,mtu akatembea na hilo jina makusudi alfu katulia tuliii

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Si hao mnaokaa nao wanakuja kuniambia πŸ˜‚πŸ˜‚ eti sijui avatar yangu inafanana na ya memba mwingine.. sasa inawahusu nini?

Mimi ni mshua with full of uswahili lkn sio wa kishamba πŸ€—

Sema next month nitakuwa mshua full full
Hao watu nao mafriji yao hayagandishi kha 🀣🀣

Nasubiria hiyo next month nikuone kama utabadilika kweli.
Kuhusu wa kishua aah hilo linajulikana, halipingiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…