Unawakilisha sio π€£π€£Debe tupu πππ
Naunga mkono hojaHaya tuwekee vocha π€£π€£ tupoze machungu na makasiriko
Mdudu kama mdudu π€£π€£π€£Unawakilisha sio π€£π€£
Mitano tena kwako
SikuiangaliaMambo za marudi marudio zinaboa
Nyie sio mapenzi, mnakuwa mnadanganyika haraka mkomeee π€ π€ π€Na tunachakaaa
Miili, saikolojia mpaka akili ππππ
Mtuombee bwana
Wanawake mapenzi yanatunyoosha sana
Vocha nimalala naitolea wapi ππNaunga mkono hoja
National Anthem fanya mambo
Huyo mtoto ni chawaSikuiangalia
Ndio naiangalia mara ya kwanza
Mdudu sipo nyuma pia π€£π€£π€£π€£π€£Mdudu kama mdudu π€£π€£π€£
MpesaVocha nimalala naitolea wapi ππ
πππ Haifanyi kaziMpesa
M pesaVocha nimalala naitolea wapi ππ
HatukomiNyie sio mapenzi, mnakuwa mnadanganyika haraka mkomeee π€ π€ π€
Mtachokaaa sana hadi mnafika 35 hamna tofauti na bibi wa miaka 60.. Wenzenu ambao wamenyooka 35 kama 16Hatukomi
Nasubiri tunda π€ π€Depal National Anthem
Kwa leo nimemalizana na mambo ya mapenzi, wacha sasa nikatafute pilau nile nishibe then nihamie jukwaa la siasa niilaumu serikali
Apple au avocado?Nasubiri tunda π€ π€
ππππππ
Aliyeichukua ametulia nayo.
Yaani wewe ni mzembe wa mwishoπ€£
πApple au avocado?
Nimefika 37 na sijachoka snaaMtachokaaa sana hadi mnafika 35 hamna tofauti na bibi wa miaka 60.. Wenzenu ambao wamenyooka 35 kama 16