Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa jamani, ndio mzizi wa fitina umejificha πŸ˜‚πŸ˜‚
The Bible say.. Renew your mind kwa neno la Mungu na matendo mazuri, sio ma mikunjo na happy moments ndio maana mnaumizwa, mnashindwa memorize mambo yenye faida, manaanza kumbukukia raha za mda mfupi mlizopena shubamiti kabisa 🀠🀠🀠
 
Ulikuwa huna akili sio ulikuwa unajiona, ukweli ni kwamba hukuwa na akili 🀣🀣🀣🀣
Akili zilimezwa na mapenzi 🀣🀣🀣🀣😭😭

Yule mtu tulipendana wee 😍
At least I’ve a story to tell on how the genuine Love is..

Lenie Tinsley pendeni jamani, msiogope kuachika
 
Akili zilimezwa na mapenzi 🀣🀣🀣🀣😭😭

Yule mtu tulipendana wee 😍
At least I’ve a story to tell on how the genuine Love is..

Lenie Tinsley pendeni jamani, msiogope kuachika
Haikuwa genuine love ndio maana mliachana wapuuzi nyie 🀠🀠 wenye genuine wanapenda toka chekechea hadi wanazeeka na kufa pamoja
 
Saint Anne what happened back then hadi antronia akabadili I'd? Kuna lawama nimezisikia huku alafu kaniangushia jumba bovu mm na wewe
Kama umesikia hizo sio shida zanguuuu!! kutaka kujua what happened pia mie naona hayanihusuuuu!! Kila la kheri katika kupata hizo taarifa mkuu hakuna kabayaaa. Enjoy the News!!
!
 
Aki si umeamua kutuchana makavu live leo πŸ˜‚
 
Haikuwa genuine love ndio maana mliachana wapuuzi nyie 🀠🀠 wenye genuine wanapenda toka chekechea hadi wanazeeka na kufa pamoja
😭😭 hujui tu nyonyoma
Si shetani alipata wivu akatumwagia vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…