Wala kumpenda mtu sana sio ujinga π πNo sitabirii hivyo na haitakuwa
sema nilikuwa mjinga wa mwisho
Shikamoo jiraniNdio ikoje jirani..
Akuje tyuuuu namsubiri kwa hamu mieee
Unapendwa sana tu πNawapenda sana familia yangu, ππ π₯°π₯°π₯°
Tupige vyombo blaza big..Badala ya kutafuta hela, mnadishikushi kuachana na mapenziz ambavyo mkiwa na njaaa haviwashibishi
Ni kwa huu mwaka wa huyo shangazi yenu tuArusha nadhani ndio mkoa unaongoza kwa umeme kukatika.
Isije ikawa Jana kalinyang'anywa simu maana kalikuwa kanawacheka wanyakyusa huko Mbeya.Akuje tyuuuu namsubiri kwa hamu mieee
Better be kuliko kujifanya wajua zaidi kumbe hujui kityu!π€Ngoja nisome
Nimedandia tu mbeleπππ
Nipo tayari kuwa mpenzi mtazamaji.
Ukikosa hela sio wote hawana broBadala ya kutafuta hela, mnadishikushi kuachana na mapenziz ambavyo mkiwa na njaaa haviwashibishi
Sawasawa jirani...Wala kumpenda mtu sana sio ujinga π π
kwangu mimi naona ujinga kwamba sikuona huyo mtu sio.Wala kumpenda mtu sana sio ujinga π π
Eti Shangazi yenuππππππNi kwa huu mwaka wa huyo shangazi yenu tu
Huko nyuma sikuwahi ona hii kitu
Kuna mvua huko π€ π€Tupige vyombo blaza big..
Nipo hapa Survey.
Marahaba jirani..Shikamoo jirani
Hakuna mtu mwenye hela serious money ukakuta analilia mashudu hayo.. Na kama wapo 1 kwa 10 π€ π€Ukikosa hela sio wote hawana bro
Wengine tuko nazo tangia kitamboπ
Hayajakukuta wewe eeeh?πππKuna mvua huko π€ π€
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi π€ π€
Atakua ametingwa tu jembe langu coca the jiniazzzzzzzzzzzzzzz!! ππππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!Isije ikawa Jana kalinyang'anywa simu maana kalikuwa kanawacheka wanyakyusa huko Mbeya.
π€£π€£π€£π€£π€£Safi sana π€£
Aiii Exi hafuatiliwi bana
Ukichakaa kisaikolojia πππ ni mbaya sana didi.. usiombe ikukute π
Mbona Mimi hela sina na huwa siliiπππKuna mvua huko π€ π€
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi π€ π€
πππ tuko uwanjani tunatafuta hizo helaBadala ya kutafuta hela, mnadishikushi kuachana na mapenziz ambavyo mkiwa na njaaa haviwashibishi