Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha kikizidi shida. Si ni wewe ndio unakipigia kelele deile
Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.
Halafu shida sio kutoa kitambi shida ni pale uwanjani, wadada wana machuuuuuraaa makubwa, na wakija mazoezi wanakuwa wamevaa vi tight vimewachora sana wakati mimi huku hamna chura.

Sasa wewe kama unataka kitambi kiishe, nitakupa stress wiki tuu kitambi na hiyo miguu imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…