Selfika na JF: Snap it. Show it

Kha jamani walikuwa wankuonea
Mimi sipendi hivyo
 
Safi kabisa, endelea na moyo huo huo.. 😉😉😉
 
Usiwape , wanyime dah maana sio poa .. uwe na kauchoyo kidogo .

Yaani mimi sizoeleki na mashoga sina 😂
Mimi sina mashoga.
Nikipita sehemu ni Salamu tu na Sinaga maneno.

Sasa sijui sura yangu imekaa kipole sana😂.
Yaani mtu akiniona huwa anakuwa comfortable kunieleza shida yake na huwa nasikiliza.
 
Mimi sina mashoga.
Nikipita sehemu ni Salamu tu na Sinaga maneno.

Sasa sijui sura yangu imekaa kipole sana😂.
Yaani mtu akiniona huwa anakuwa comfortable kunieleza shida yake na huwa nasikiliza.
Eeh wanakuwa washakuzoea hao
Mimi ninayo ya upole sema I'm not friendly sometimes .

Wape lakini usitoe yote baki na kidogo chako . Kama unayo nyingi ndo utoe .
 
Hahhaa usimpangie matumizi ya hela yake; hata kama ni mkopo🤣🤣🤣
Shida siyo kumpangia.
Shida ni anaitumia anamaliza na anakuja tena kuomba.

Sasa mtu huna hela na matumizi hujui..Mtu anakupa hela,basi hata utumie vizuri na kama ukitumia vibaya basi uwe na uhakika wa kupata nyingine.
Huna uhakika wa kushika hela halafu unatumia vibaya aisee ni upumbavu 😂
Halafu mnaanza kula anawashangaa usoni..njaa inamuuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…