Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,393
Siwezi kudai.pole aiseee
kutoa ni moyo , uwe unawadai
mimi ningewadai aisee , mtu akisema anarudisha basi iwe kweli
Usihangaike kuzoom shemeji Nina kibamia [emoji41][emoji41][emoji41]Niko nakuzoom
Nataka kuprove wembamba warefu na miguu ya watoto
Umeanza lini uchawa boss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu hicho kiatu niliona amevaa mfalme Mohamad wa sita wa Morocco
Sawa jirani yanguNdio nimemsikia, ngoja nifanye jambo jirani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Kweli mtu unapata vocha ya 2000 pekee ako kwenye mahusiano utatulia kweli ww na utaachwa sana tu[emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Boss wanatumia voda ni matajir tuonee huruma sisi wa halotel [emoji856][emoji856][emoji856]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kupigwa na kizito kichwani mliopata vocha wote mpate mimba mwaka huu [emoji856][emoji856]View attachment 2355500
Hata mie Julieth 😉😉.. Unapajua pa kuja usalama 100%Pataje hadharani 🤣 usije niteka bure
Siku hizi hadi wapenzi hawaaminiani
😂 😂Hata mie Julieth 😉😉.. Unapajua pa kuja usalama 100%
Eeh binadamu sie tuna shida sanaSiwezi kudai.
Kuna mmoja alikuja kukopa ya kupeleka vicoba huko.
Akasema akishapeleka ni zamu yake kuchukua.
Nikampa..
Hakunilipa.
Baadaye muda umepita akawa ameumia mguu alidondoka akajigonga goti...Alikuja nyumbani kuomba spirit.
Nikagawia..Nikamuelekeza dawa ya kukausha kidonda haraka anunue.
Akasema hana hela,Nikampa hela ya dawa na nikamwambia ile hela niliyokukopea nimekusamehe.
Kesho yake akaja...anasema ana shida ya hela anunue mahitaji anafanya biashara ya chips.Akiizungusha atanirudishia.
Akataka kiasi,Nikampa ila nilimpa pungufu ya ile aliyotaka...ilipungua kama elfu 10 hivi.
Nimamwambia ungeniambia mapema ningejitahidi kubana matumizi..Jana ndio nilitoa hela ya matumizi yangu na hiyo ndiyo iliyobaki.
Akaondoka.
Jioni akanitafuta,anauliza kama sijaenda tena benki ili nimtolee elfu 10 iliyobaki eti hajanunua tomato na chill sauce!
Nikamwambia sijaenda.
Kesho yake tena akanitafuta..tena akaja nyumbani kabisa...nikamkaribisha nashangaa amekaa kimya,Nikamwambia nakusikiliza..Anasema umesahau??Ni kuhusu ile hela iliyobaki.
Binadamu waswahili ni wajinga sana.
Mkaka wa kisabato mrefu 😊Baada ya kupigwa na kizito kichwani mliopata vocha wote mpate mimba mwaka huu [emoji856][emoji856]View attachment 2355500
Na ww umepata vocha [emoji34][emoji34][emoji34][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pm au 🤣🤣🤣Hata mie Julieth 😉😉.. Unapajua pa kuja usalama 100%
😁😁😁Hatari mpendwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani kaaahhh!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yani mwanaume ukimkopesha mwanamke hela akikulipa niite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Siwezi kudai.
Kuna mmoja alikuja kukopa ya kupeleka vicoba huko.
Akasema akishapeleka ni zamu yake kuchukua.
Nikampa..
Hakunilipa.
Baadaye muda umepita akawa ameumia mguu alidondoka akajigonga goti...Alikuja nyumbani kuomba spirit.
Nikagawia..Nikamuelekeza dawa ya kukausha kidonda haraka anunue.
Akasema hana hela,Nikampa hela ya dawa na nikamwambia ile hela niliyokukopea nimekusamehe.
Kesho yake akaja...anasema ana shida ya hela anunue mahitaji anafanya biashara ya chips.Akiizungusha atanirudishia.
Akataka kiasi,Nikampa ila nilimpa pungufu ya ile aliyotaka...ilipungua kama elfu 10 hivi.
Nimamwambia ungeniambia mapema ningejitahidi kubana matumizi..Jana ndio nilitoa hela ya matumizi yangu na hiyo ndiyo iliyobaki.
Akaondoka.
Jioni akanitafuta,anauliza kama sijaenda tena benki ili nimtolee elfu 10 iliyobaki eti hajanunua tomato na chill sauce!
Nikamwambia sijaenda.
Kesho yake tena akanitafuta..tena akaja nyumbani kabisa...nikamkaribisha nashangaa amekaa kimya,Nikamwambia nakusikiliza..Anasema umesahau??Ni kuhusu ile hela iliyobaki.
Binadamu waswahili ni wajinga sana.
Niite jina zuri [emoji41][emoji41]Mkaka wa kisabato mrefu [emoji4]
Fedha ni kipimo cha utu (IMO). Ukimess up na Tsh 10 yangu; nakufuta na kwenye maisha yangu. Mtu asiye na utu; hafai duniani wala akhera. Wewe kwa sababu ya utu; unajivisha viatu vyake na kuibeba shida yake kama ya kwako unamsaidia; lakini yeye hakumbuki kama ulimsaidia so afanye arejeshe. Worse enough ni wale unamkopa, anakuzungusha kulipa ilhali hela anayo; baada ya muda akipata shida anakuja kukukopa tena na ahadi za kulipa deni la kwanza juu. Kuna watu hawana aibu, hawana utu na hawana shukrani pia.Siwezi kudai.
Kuna mmoja alikuja kukopa ya kupeleka vicoba huko.
Akasema akishapeleka ni zamu yake kuchukua.
Nikampa..
Hakunilipa.
Baadaye muda umepita akawa ameumia mguu alidondoka akajigonga goti...Alikuja nyumbani kuomba spirit.
Nikagawia..Nikamuelekeza dawa ya kukausha kidonda haraka anunue.
Akasema hana hela,Nikampa hela ya dawa na nikamwambia ile hela niliyokukopea nimekusamehe.
Kesho yake akaja...anasema ana shida ya hela anunue mahitaji anafanya biashara ya chips.Akiizungusha atanirudishia.
Akataka kiasi,Nikampa ila nilimpa pungufu ya ile aliyotaka...ilipungua kama elfu 10 hivi.
Nimamwambia ungeniambia mapema ningejitahidi kubana matumizi..Jana ndio nilitoa hela ya matumizi yangu na hiyo ndiyo iliyobaki.
Akaondoka.
Jioni akanitafuta,anauliza kama sijaenda tena benki ili nimtolee elfu 10 iliyobaki eti hajanunua tomato na chill sauce!
Nikamwambia sijaenda.
Kesho yake tena akanitafuta..tena akaja nyumbani kabisa...nikamkaribisha nashangaa amekaa kimya,Nikamwambia nakusikiliza..Anasema umesahau??Ni kuhusu ile hela iliyobaki.
Binadamu waswahili ni wajinga sana.
Weee mimi ni mnyaki ila hiyo roho sinaaaaaaaEeh binadamu sie tuna shida sana
Ubarikiwe na roho hiyo kutoa
Wanyaki mna roho nzuri kweli