Ngoja niwasubiri washindi hapa ππSelfika
Ni huzuniiTukio gani
Wamepotea ghaflaπ€ π€ π€ π€ Watu wapo busy kuingiza
Zingine umeziacha πππ umeona uchukue tu bukuAsanteeee mdhamini Mjep View attachment 2355401
kweli kabisaPsychological facts:
Unafahamu ya kuwa chakula alichokiandaa mtu mwingine ni kitamu kuliko ulichokiandaa wewe hata kama mlitumia pishi moja?
π Mtaniua mbavu zangu wanaselfika kuna watu hata hamu na vocha hawana tena.
Ndiyoo mkuuZingine umeziacha πππ umeona uchukue tu buku
π€ π€ π€
Kudadeki nimeamini uchawi upo leoSelfika
Hahaha komaaa na tekno lako π€£π€£Kudakeki nimeamini uchawi upo leo
Kudadeki nimeamini uchawi upo leo