Niazime efu 1Wana mioyo ya chuma.
Mimi nikiwa na hela ya mtu huwa nakosa raha
Muda wote naona kama ananidai hivi..na huwa nakuwa mwaminifu nikiazima narudisha kwa wakati.
Ila mtu anajipigia tu hela zote za mchezo.
Wala hastuki.
Hautafanania nao πNiazime efu 1
Nataka kujifunza utapeli
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tena bonge huyo
Mdada wa maana tu.
Bora angekuwa kimbaombao kama mimi unaweza hisi kuwa huyu ni janja janja.
Watu wanene kuna namna wanaaminika ujue.
Unadhani ni rahisi?Simple healing from any breakup ni kukubali tokeo, umeachwa achika,, muache aende, tena ukijifanya unajua kumfatilia na mambo yake ndio utawehuka kwa maumivu π€£π€£
Talking frm experience! Mimi sikufikia stage ya kuwehuka,, ila badala maumivu yapoe ndio kwanza yakawa yanazidi πππ
Nikaona heeee Iβve to be serious, nikakuwa serious then the shit passed like a shadow π
Ndio maana nilikuachaπ€£π€£Tuachane tu......
ππππππ
Unae moyo ππ€£Huku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.
Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.
Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.
Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
Ni rahisi ukiamua, ukikaza fuvu unajiuaaa π πππUnadhani ni rahisi?
Labda iwe alizingua mwenyewe.
π€£π€£π€£ππππππNdio maana nilikuachaπ€£π€£
Mchezo wa elfu5 anapotea na hela imagineπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Huyo mbona anatudhalilisha vibonge, maana sisi hatunaga njaa njaa za kizembe
Mimi muweka hqzinaTuanzishe kikoba cha selfika....
Mkwepu mwenyekiti
Dyadya tumesikia ππSimple healing from any breakup ni kukubali tokeo, umeachwa achika,, muache aende, tena ukijifanya unajua kumfatilia na mambo yake ndio utawehuka kwa maumivu π€£π€£
Talking frm experience! Mimi sikufikia stage ya kuwehuka,, ila badala maumivu yapoe ndio kwanza yakawa yanazidi πππ
Nikaona heeee Iβve to be serious, nikakuwa serious then the shit passed like a shadow π
Hii kikoba inakufa kabla haijaundwaMimi muweka hqzina
Ila uninga wa kulilia mtu siweziNi rahisi ukiamua, ukikaza fuvu unajiuaaa π πππ
Na tunaendelea kupeana Bwana asifiwe.Unae moyo ππ€£
Apigishwe mazoezi na diet kwa lazima aondolewe kwenye ubonge huyoMchezo wa elfu5 anapotea na hela imagine
Ila tabia za ulafi alianza tangu shule..kuiba wali wa watu kwenye mabobo siku ya wali.Ndio maana nikasema labda alipata shida, akaona soln ni kujipooza na hela za watu
YaaniApigishwe mazoezi na diet kwa lazima aondolewe kwenye ubonge huyo
Bora angetapeli hela kubwa ya kuendana na mwili wake
Unaliliaje mtu kwa mfano, af unamlilia anakupotezea full kujidhalilishaIla uninga wa kulilia mtu siwezi
Akiondoka namsindikiza na asije tena kunusa pua lake..aisee amtoa nduki.
Ukiondoka ondoka mazima na usonge mbele kama injili.
Kuna mimbuzi linaondoka halafu linakuja tena kukutext...hiyo jeuri anaitoa wapi?
ππππππ πππ π π π π kikoba na michezo kweli ukiamua unafanya endeleo flaniMimi ni mpumbavu..yaani nikiwaga na hela siwezi kumnyima mtu.
Tena waliwahi kutoa tarehe za mwanzo mwanzo mimi nikasema nachukua,maisha magumu.
Yeye akakataa akasema anasubiri hadi tar 30.
Imefika jioni tunatoka..tulikuwa tunaongozana..akaniambia anajisikia homa..nimuazime 20 apite hosp.
Nikaenda kumtolea.
Hakurudisha.
Siku zimeenda mara akaja tena nipiga kibomu.
Na nilivyo domo zege hata kudai siwezi.
Halafu analeta mambo ya kucheza vicoba tena cha hela ndefu eti ili tufanye maendeleo..hakiyanani
Nikawaambia mm sina haraka na maendeleo,kwanza nakaa nyumbani bure.
Yan kwamba π€£π€£π€£π€£π€£ sema matukunyema wengi akili zinakuwaga zinacheza π πYaani
Ni udhalilishaji wa matukunyema