Selfika na JF: Snap it. Show it

Unataka kukopa? Kakope salary adv yako huko
Mbona rahisi tu 🀣🀣

Ila mimi michezo sijui kama nitakujaga kuacha 🀣
Ile kitu ni addiction
Mimi ni mpumbavu..yaani nikiwaga na hela siwezi kumnyima mtu.
Tena waliwahi kutoa tarehe za mwanzo mwanzo mimi nikasema nachukua,maisha magumu.
Yeye akakataa akasema anasubiri hadi tar 30.
Imefika jioni tunatoka..tulikuwa tunaongozana..akaniambia anajisikia homa..nimuazime 20 apite hosp.
Nikaenda kumtolea.
Hakurudisha.

Siku zimeenda mara akaja tena nipiga kibomu.
Na nilivyo domo zege hata kudai siwezi.

Halafu analeta mambo ya kucheza vicoba tena cha hela ndefu eti ili tufanye maendeleo..hakiyanani
Nikawaambia mm sina haraka na maendeleo,kwanza nakaa nyumbani bure.
 
Saint Anne ukipata ela naomba
 
Sikumblock bwana

Sasa naona ana kiherehere cha kunitext… mbuzi ile haiachikiii 😑 sijui ina akili za wapi ambazo hazitaki kuheshimu maamuzi ya kuachwa 😏😏
Mbona mbuzi 🀣🀣
Kuachwa kunauma jaman, hasa kama mtu aliyekupiga kibuti bado unampenda.
Itakua anajutia, sema usijibu text zake mpotezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…