Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo ucheze kwetu
Tuko waaminifu 🤣


Yan nacheza na workmates

Ndio itokee mtu azingue? Ngoma itapanda finance dept 😂😂😂 mbona atakula deduct?
 
Au ndugu agemates kama mnaelewana vema.
Maana sisi wengine tuko mikoa tofauti ila mambo yanaenda
 
Njoo ucheze kwetu
Tuko waaminifu 🤣


Yan nacheza na workmates

Ndio itokee mtu azingue? Ngoma itapanda finance dept 😂😂😂 mbona atakula deduct?
Mimi kazini kwenyewe nilikataa.
Yule mdada alishakopa vihela kwangu na hakurudisha.
Tunaanza tu kazi akaleta wazo la mchezo na akajiweka wa kwanza kuchukua.
Walikubali wote,mimi pekeyangu nikakataa kucheza.
Wakasema acha uoga..ila roho yangu iligoma.

Alikaa miezi michache tu akaondoka.
 
Unataka kukopa? Kakope salary adv yako huko
Mbona rahisi tu 🤣🤣

Ila mimi michezo sijui kama nitakujaga kuacha 🤣
Ile kitu ni addiction
 
Simply huo ni wizi.
Walianza kunitafuta kuuliza kama najua nyumbani kwao huyo mdada.
Bahati mbaya sijawahi kufika.
Mimi sikujua kama wanamdai.

Kwanza aliblock watu wote..
Na sijui alihisi watanituma maana tulikuwa mkoa mmoja.
Akaniblock..baada ya mwaka hivi ndio akarudi hewani.

Sasa nikatuma namba aaddiwe kwenye grp ndio wakaanza kufunguka kuwa kuna kicoba aliwatapeli watu.
 
Huyo ni mwizi

Au alipata shida, unajua shida zinatufanya tuwehuke akili? Unasaka means ya kusovu unakosa,, ni rahisi sana kufanya kitu cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…