Utufikirie na sisi wa voda kiongoziU boss nautoa wapi mimi kabwela tuu
Selfika na #halotel#
*104*5570613914622#
Lina tabia mbaya kumbe mm nitaenda kwake[emoji1783][emoji1783][emoji1783] Kanimwaga jukwaa flani live mzee hata sina hamu nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Watu na damu zetu za kunguru weusi
AmeeeeenAll the bests mamaaa!! βοΈβοΈ
Ubarikiwe sana boss toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vochaU boss nautoa wapi mimi kabwela tuu
Selfika na #halotel#
*104*5570613914622#
Una vituko ππUbarikiwe sana boss toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vocha
Soon Dada angu anaachika nakupa bure View attachment 2354552
Nikicheza nachekeshaπPraise member unakosaje kujua?
Acha kabisa, nilitamani kufuta account.. Kwa namna nilivyopewa kavu live live ila yote maishaLina tabia mbaya kumbe mm nitaenda kwake
Jitahidi asee. Ukiwa wa kishua najua utatukumbuka na sisi π€£π€£π€£π€£ππ ngoja niongeze juhudi za kukaa na mshua Lenie na mimi niwe mshua
Nitaanza mwakani πππ huu mwaka nishachelewaUwe unanisalimia vizuri ohooooo π€£π€£π€£
Kwanza emu selfikaJitahidi asee. Ukiwa wa kishua najua utatukumbuka na sisi π€£π€£
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈKwanza emu selfika
NitakubondaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ya mwakani unayajua yatakuaje? Nikishushwa cheo je?π€£π€£Nitaanza mwakani πππ huu mwaka nishachelewa
Leo zamu yako bhana. Tumeshamiss zile dimplesNitakubonda
Sahivi wacha nimaliZie uswahili π€£Ya mwakani unayajua yatakuaje? Nikishushwa cheo je?π€£π€£
Badala uenjoy vya saivi