Wanawake wanene wakizaa ndo inakua hvyo Ila hujabadilika kihivyoo bado ni mrembooMimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Togola mnyangu๐Acha kunijaza toka lini Mzigua akawa na mzigo kama mnyakyusa๐๐
Watu hawatumii tiGO ๐[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]subhana llaaah! nimepata bwana ! ahsante brooo!!!sijui team mwewe walikua Wapi!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha bro. Huu mwezi sijui unaishaje nina buku tu.. ila kuna mchongo nasikilizia..Nakuona bishoo ๐ค ๐ค ๐ค picha za vyakula huku mfukoni tuna bati
Sometimes ๐คฃDepal hunaga akili kidogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ilikua bahati yako tu hiyo si umeona nilikuquote kabisa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]subhana llaaah! nimepata bwana ! ahsante brooo!!!sijui team mwewe walikua Wapi!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
๐ค ๐ค ๐ค Uza huto tu dubwasha hukosi laki mbili za chap chap.. Ukale maisha tabataAcha bro. Huu mwezi sijui unaishaje nina buku tu.. ila kuna mchongo nasikilizia..
View attachment 2354436
Kweli ilikua bahati yangu maana niliona nkasema ishawahi nkarudi second time nikakopy na kupaste ikakubali..looh! ahsanteee haswaa broo!Ilikua bahati yako tu hiyo si umeona nilikuquote kabisa
Na ulitaka kukata tamaa[emoji16]
Hongera
Yani nilikua kazuriii jamani hapa nimeishaaa nikibeba mimba sasa kitukooo!! Sema akili ikiseto Narudia mwili wangu !Nikiwa stressed bibi kizee akasomeWanawake wanene wakizaa ndo inakua hvyo Ila hujabadilika kihivyoo bado ni mremboo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo mrembo ,zamani ilikuaje Sasa!![emoji3059][emoji848]Yani nilikua kazuriii jamani hapa nimeishaaa nikibeba mimba sasa kitukooo!! Sema akili ikiseto Narudia mwili wangu !
Music ๐ต๐ถ dah. Ebu ngoja nivute vute hadi jioni nione.๐ค ๐ค ๐ค Uza huto tu dubwasha hukosi laki mbili za chap chap.. Ukale maisha tabata
Asante sis!โ๏ธHapo mrembo ,zamani ilikuaje Sasa!![emoji3059][emoji848]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyechukua hii vocha Nani tena mbona gafla hvyo jamanSelfika na #tigo#
*104*430307945945330#
Vimba kwaraha zakooo mamaa๐๐๐๐!! ๐๐๐Navimba huku mwenzenu๐๐๐๐
Mtoto mdogo una maumivu gani tenahebu njoo unipende hadi nisahau maumivu yote
butterflies in my belly awwh
Uza pods utoboeAcha bro. Huu mwezi sijui unaishaje nina buku tu.. ila kuna mchongo nasikilizia..
View attachment 2354436
Acha tu ni uchunguMtoto mdogo una maumivu gani tena
Najua nikilia njaa utasimamia shoo ya muhamala.Uza pods utoboe
Sina mbuli myangu๐๐Togola mnyangu๐
Kumbe wa kwetu kabisa....
Wanyaki wana vishundu si haba ila wewe umewawakilisha vema wazigua madam au ndo mambo ya uzazi hayo