Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
AiseeeHapa ndipo role ya mama inapokuja. Yani ukitaka kuzaa lazima ujikatae yani sura lazima ifomatiwe upyaa yani uvumilie vingi so na kina baba hapa ndipo muda wa kuwavumilia wake zenu sio ulimzoea pua mchongoko hapa lazima pua ijae kidogo kama andazi. Ila mwisho wa siku anakuletea Jembe au Mrembo kwa dunia. Hongera Jokate
View attachment 2354337
Ukiona wenzio wananyoaaaaa......Aiseee
Kweli amebadilika
Kuna mahali niliona wanajadili,,wakawa wanasema hadi pua huwa inavimba.
hebu njoo unipende hadi nisahau maumivu yoteUtajuta kunipenda mpka utasema kwann hukunijua mapema kwa jinsi nitakavyokupenda na kukujal
Sura langu nishatia majiUkiona wenzio wananyoaaaaa......
Wewe utanoga hatareeee!!Sura langu nishatia maji
Sipati picha nikivimba itakuwaje.
Hapa tu sura Pana kama sahani hakiyanani ππππππ
WeeeWewe utanoga hatareeee!!
Trakoo trakooooππππ ndioooooππππ!!Mama H hata pozz ni za kizee kwa sasa
Woiiππ₯π₯π₯π₯π₯Mama H hata pozz ni za kizee kwa sasa
Mzuri mnooooooo!!Woii[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mpendwa
Kumbe uzazi mzuri Jamani
Ngoja na Mimi nizaeππππππMzuri mnooooooo!!
Tena lainiiTrakoo trakooooππππ ndioooooππππ!!
Umenougaaa!!
Hahaa.. kuna wenye wanaharibika balaaaa.. pia kuna wenye wanapendezaaaa wananouga hatareee!!Weee
Isije ikawa linabadilika kuwa kama Sinia
Maana ndio size imebaki
Mama Junia mwenyewe huyooππMama H hata pozz ni za kizee kwa sasa
Kuna shoga angu mmoja alisema sitamani kuzaa tena nikikumbuka ule mpua ulivyoumuka ππ€£πHapa ndipo role ya mama inapokuja. Yani ukitaka kuzaa lazima ujikatae yani sura lazima ifomatiwe upyaa yani uvumilie vingi so na kina baba hapa ndipo muda wa kuwavumilia wake zenu sio ulimzoea pua mchongoko hapa lazima pua ijae kidogo kama andazi. Ila mwisho wa siku anakuletea Jembe au Mrembo kwa dunia. Hongera Jokate
View attachment 2354337
Sanaaaaa. Hebu Fanya uzae kwanzaTena lainii
Mwili umekuwa mzuri .mlaini
Mdogo wangu fanya chapNgoja na Mimi nizaeππππππ
Mimi natamani ninoge kama Mpendwa πHahaa.. kuna wenye wanaharibika balaaaa.. pia kuna wenye wanapendezaaaa wananouga hatareee!!
Na wengine wanabaki kama walivo tu