Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,929
Wacha weeeeh! Naomba gauni.
Wacha weeeeh! Naomba gauni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mdogo wangu.
Kyala nnunu fijo
Wacha weeeeh! Naomba gauni.
Mmmhhh[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]hapana dada
BMW left hand😎 Mganga upo vizuri!!Chombo inashiba kwanza View attachment 1256449
Nawakumbusha Wapendwa chat ziendane na picha.
Mmmhhh
Umetokelezea
Inamaanisha weupe (wa asili kama sijakosea); il sio weusi wa asili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani rangi ya mtume si maana yake ni rangi natural au??
Inamaanisha weupe (wa asili kama sijakosea); il sio weusi wa asili
Hahhahahahah mbona hudhurungi. Sasa hudhurungi yako inaelekea sana kwenye weupe. Will show you my dark hudhurungiDooh basi tuko wengi tusio na rangi za mtume,, mimi siyo mweupe ni wa hudhurungi..[emoji2296][emoji2296] (sijui ndiyo inaitwa hivyo)