MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,451
- 69,319
Kuna huyu dogo, halafu kuna dada mwingine anaitwa MSAKI yuko vizuri....Kumbe unamoata napenda sana ngoma zake, huwa zinakosa moyo wangu
K
Kuna huyu dogo, halafu kuna dada mwingine anaitwa MSAKI yuko vizuri....
Fanya hvyo basi Shem wanguWamejaa telee kesho nitakuwekea sampo uchaguee
Aiseee mm huyo namfata kwakeSimba mwenda pole ndio mla nyama.. Watu tupo DM



Mada closed!! Hapa umemalizaaaaa!🤠🤠🤠 Simba mwenda pole ndio mla nyama.. Watu tupo DM
🙄🙄🙄 Utaweza na huo mzigo 🤠🤠🤠 angalia Torque yako mzee na Horsepower kama vinaweza pelekaAiseee mm huyo namfata kwake![]()
Usintafutie laana za rejareja Mie Kijana wangu wakwanza kabisa wewe!Aiseee mm huyo namfata kwake![]()
Najua vitu anavyopenda huyo binti kwangu hachomokiUtaweza na huo mzigo
angalia Torque yako mzee na Horsepower kama vinaweza peleka
Sawasawa....Kaka ule mzigo siyo poa nataka nifanye mapinduzi tu shemeji Mjep
Yani Unaniita mm mtoto wakoUsintafutie laana za rejareja Mie Kijana wangu wakwanza kabisa wewe!





🤠🤠🤠🤠 Haya pembania kombe hapa.. Wenzako tunaandaliwa kahawa na tangawiziNajua vitu anavyopenda huyo binti kwangu hachomoki
Mjomba leo una nini lakini??? Ulipoamkiaa leo uwiiiiii🙌🙌🙌🙌🙌!!🙄🙄🙄 Utaweza na huo mzigo 🤠🤠🤠 angalia Torque yako mzee na Horsepower kama vinaweza peleka
Ndio chalii kabisa weweYani Unaniita mm mtoto wako![]()
Shangazi usijali si unajua mjomba wako ukimfurahisha anachangaamkaaa 😊😊😊😊Mjomba leo una nini lakini??? Ulipoamkiaa uwiiiiii🙌🙌🙌🙌🙌!!
Mm ananiandalia shuka la kulalia maji ya kuoga kaweka hiriki bado kupewa limbwata tuHaya pembania kombe hapa.. Wenzako tunaandaliwa kahawa na tangawizi
Atakuwa wa kimboka huyo sio wa huku 🤠🤠🤠🤠Mm ananiandalia shuka la kulalia maji ya kuoga kaweka hiriki bado kupewa limbwata tu
Tajir boss wa pekee mwenye mchepuko wa kizungu tajir mwenye Subaru Legacy namba ESawasawa....
Wembamba wa reliNdio chalii kabisa wewe
Kuanzia Leo ww ni Shem darlingYaani wadada mbona mnakua wachoyo hivyo?
Majina mazuri mnaitana wenyewe, mara dear, mara sweetheart....
Na mimi nimejiongeza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣