Selfika na JF: Snap it. Show it

Na siku hizi Coca hata hunaga muda nao yaani.
Nimeona wengine wamekumention kwenye uzi wa watu wanaowachukia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikacheka kuwa hawa jamani,mbona wanatafuta ugomvi Kwa nguvu na mtu asiyetaka ugomvi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basis mie ndo roho kwatuuuuu, waendelee kunifuatilia zaidi, na nitawatesa sanaaaa. Sio shida zangu mie
 
Matani mengi siku hizi.
Kumenichangamsha kiasi chake..Sasa naweza kurudi mkoani.
Juzi niliona kigodoro Cha pili. Aisee zile ngoma zilivyokuwa zinapigwa nilitamani nijoin kukata mauno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigoma au kigodoro kinanogaa Temeke kuleee, aweeeeeh nshakumbuka buzaa kwa mama kibongeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaaΓ‘h
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basis mie ndo roho kwatuuuuu, waendelee kunifuatilia zaidi, na nitawatesa sanaaaa. Sio shida zangu mie
Kama kawaida,ukaenda na kicheko 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukiandika ntaelewa zaidi...na zaidi yapo ushindi wa πŸ’· utakufurahisha hata wewe kwahiyo mpango ubaki pale pale.πŸ˜‰

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Huyo mtabiri wa ndoto mwambie katisha sana kwa kuweza kukufanya uvae mabomu kwa matakwa yako mwenyewe πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ
 
Lizzy hebu acha kunifanyia hivyo, ujue nitaandika kweli?

Salamu zimefika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…