Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaenda honeymoon wamefanyaje? 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Honeymoon wanaenda wamechokaa hatari, washamaliza ufundi wote hakuna jipya, washagombana sana na kusuluhishwa hadi mahakamani na vikao vya familia.. Wanaenda honeymoon wamenunianaaa, ndani kila mtu na simu yake.. Ila hii haitokuwa kama honeymoon yetu bebii... Maana itakuwa ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ hadi shetani atajinyonga kwa wivu
 
Sio weweee Mjomba wangu unaependa show offf nasemaaa!! πŸ˜‰

Mie natii agizo la Bossi kubwa Mr Vocha !!
Selfii ziendelee ✌️✌️✌️
 
Sio weweee Mjomba wangu unaependa show offf nasemaaa!! πŸ˜‰

Mie natii agizo la Bossi kubwa Mr Vocha !!
Selfii ziendelee ✌️✌️✌️
🀠🀠🀠🀠 Haya shangazi acha sie tuendelee kusubiri kitu chetu cha ndoa.. Lazima upate mualiko ujw ujionee
 
Mie treinnnaaaaaaahhhh! Shangazi mtu Nitawaka bi harusi akasome πŸ˜œπŸ€—!
Nitayarudi hio siku uwiiiiii!!
Kasinge munoo waitu!
Ewaaa muhimu muhimuu... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Lazima tufurahi nahisi mwana jf mmoja wapo atae pata mualiko ni wewe maana hamtozidi watatu au unasemaje Depal mama 🀠🀠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…