Alivo kichomi huyo watamuweza?? Huyo akili zake anazijua mwenyeweAshindwe yeye tu hahaha , muda wote anatuma text nakuja sasa , anajillia zake π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo maana Lenie haonekani humu kumbe unalishwa tunda kimya kmya [emoji119][emoji119][emoji119]Naanza kula tunda alafu tunda litanililisha tunda [emoji16][emoji16]
Jiko ninalo la gesi [emoji856]Carrasco putin ndio ukomee ubahiliii wakoo tafuta jiko ujilie vinono asubuhi mchana jioni usiku wa manane na alfajiriii[emoji2214][emoji2214] [emoji108][emoji108]
Ananikanda mgongoo hapa huku, kavaa ki night dress hivi kinatelezaa nakula vitu viwili kwa wakati mmoja ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo maana Lenie haonekani humu kumbe unalishwa tunda kimya kmya [emoji119][emoji119][emoji119]
Na kichomi haswaAlivo kichomi huyo watamuweza?? Huyo akili zake anazijua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu niacheni hukoTushachoka kusikia malamikl yako kuhusu ex wako
Umebadili avatar eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu niacheni huko
Amen amen!! Tumuombee tu iwe hivo walaiNa kichomi haswa
Anyway anaweza pata mke atakayependa ukichomi wake .
Love is blind
HapanaUmebadili avatar eeh
Hivi aifon 14 pro max ndio keshoππAnanikanda mgongoo hapa huku, kavaa ki night dress hivi kinatelezaa nakula vitu viwili kwa wakati mmoja ππ
Eeh kesho wana zindua, alafu nakuwekea order yako chap chap.. Usichati huku wanikanda ππHivi aifon 14 pro max ndio keshoππ
Huyu Kenge ningemng'oa mayaiKachukua moyo wa mwenzie umekuwa mpira
Abee Carrasco putin umeniita?π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo maana Lenie haonekani humu kumbe unalishwa tunda kimya kmya [emoji119][emoji119][emoji119]
Aki si nitashindwa kulala leoπEeh kesho wana zindua, alafu nakuwekea order yako chap chap.. Usichati huku wanikanda ππ
Hapana mazee sijawahi....MALCOM LUMUMBA hii ki website ulishakitembelea enzi za bongo fleva online , leo nime ikumbuka hii websiteView attachment 2345425
AmenAmen amen!! Tumuombee tu iwe hivo walai
Si huwa mna mayaiππππYa wapi[emoji15][emoji3064][emoji1]
Hii tulikuwa tunaitumia enzi hizo kupata track mpya, au ngoma kali kali za bongo flevaHapana mazee sijawahi....
Naona kimejaa ngoma za zamani....
Amen! Huyo muombewaji mwenyewe sasa!π€π€ Wee Carrasco putin njoo useme amen huku !Amen
Apate mke mwema
Proverbs 31