Kudanganywa inauma mno asikwambie mtu π€£Anakuona zuzu wa mwisho
Wewe unajichekelesha tu eti hello ,nimekumiss kwanza hajajibu hata .
Kumbe yupo main chick , huko wewe huyo wa hauna taarifa yoyote
National Anthem njoo ule tunda kimasihara huku..National Anthem njoo tule tundaView attachment 2347857
Tunda lipi nije kula πππ maana hapo naona matunda mawiliNational Anthem njoo tule tundaView attachment 2347857
ππππ Sio tunda hapo matunda lazima yakaliweNational Anthem njoo ule tunda kimasihara huku..
La kijaniπTunda lipi nije kula πππ maana hapo naona matunda mawili
La kijaniπ
Exactly mamy!!For sure,ur Dignity is everything
Kabisa kipenzi uvumilie maumivu kisa mtu ana pesa.Yani mtu unajua kabisa kuwa Antonnia anampenda mtu wangu kufa kuozaaa na evidence unazo kabisaaaa Siku ya siku anakwambia............. Nhiiiiiiiiiiiiiiii... watu kibao hawana pesa still they survive kweeeeeenndddraaa
Mdomo komaaπ·π·π·π€π€π€πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ Tuendelee kuselfika
Mungu atusaidie sana wanawake!!Pesa hii mbaya
Mungu atusaidie
Bora ule ugali dagaa tu kuliko hayo
Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanaumaKudanganywa inauma mno asikwambie mtu π€£
Aisee hapa tunaongea tuHebu acha mawazo mabaya. Acha negativity. Saint Anne anasema kuwa na Imani. Yes huwa tunateleza, lakini tunajirudi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaaa [emoji8][emoji8]Kabisa na ukikubali lipo huwez pata stress
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akifika amesahau hata alichotumwa anaomba pipi au akikutana na wenzie wanacheza mpira au chochote anajiunga nao mama ndo anaenda sasa kuulizia dogo yuko wapi?
Uniambie wewe uliyeona matunda mawili hapo πTunda lingine lina rangi gani ππ
Nipo ila nawaza ni nini hii kitu walaaahUmesema wew mm nani nipinge muite aje hapa
ππππ Nitakuambia rangi nikianza kulilaUniambie wewe uliyeona matunda mawili hapo π