Amennnnn... amen Jibu mujarab kabisa hiii ππβοΈβοΈ! Barikiwa sana sweetmadame!Lazima zije Mungu anaweka njia Kwa watu wanaojishughulisha always na hakuna miracles sehemu ambako hukuweka juhudi
IMANIIla ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.
Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.
Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.
Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
Aminaaaaaaaaa!!!Tusikukatishe tamaa dear japo tulipataga wa hivo na hamna kitu lkn IMANI
shikilia Imani ulonayo Imani sikuzote ndo inaumba ukiwaza mabaya yatakuja pia ukiwaza mema yatakufuata amini km ulivoamin na itakuwa hivo maishayenu yote mengine muachie Mungu
Unatususa sana Alayna sio poa kabisa!!Mim mzima kabisa baba pasta sijui wewe
Nipoo madan miss you too kipenzi now najitahidi kupita pitaUnatususa sana Alayna sio poa kabisa!!
Miss you sana kipenzi!!
Karibu sanaaaaaaππ
Sio wanaume tyu hata sie wanawake pia sometimes ni wasumbufu kisheenzzzz tusiegemee upande mmoja tuseme tu inategemea!!Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.
Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.
Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.
Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
Karibu sana uchangie mamy kikao hooootttttyyy ........βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈNipoo madan miss you too kipenzi now najitahidi kupita pita
Nilikuwa live nafatilia mjadala hapo juu mpo vizuriii
We usiniponzeπ€£We nzako zipo kwenye ndoa πππ
Yah,wanawake pia huwa tuna matatizo sana..Maneno maneno,fujofujo Kwa wingi hadi mtoto wa watu anachoka.Sio wanaume tyu hata sie wanawake pia sometimes ni wasumbufu kisheenzzzz tusiegemee upande mmoja tuseme inategemea!!
Ila Hatukatishani tamaa dear midamida Tunakumbushana pia ...
"Wapendanao ndio maadui zikitimia" Note that piaπ mi kama kuna ukweli sijui uongo sijui watajua wenyeweeeeππ!
Nimepiga vyomboo usiku kuchaWe National Anthem leo Saint Anne umemnywesha nini?
Imani ni hakika ya yatarajiwayo..Bayana ya mambo yasioonekana.IMANI
shikilia Imani ulonayo Imani sikuzote ndo inaumba ukiwaza mabaya yatakuja pia ukiwaza mema yatakufuata amini km ulivoamin na itakuwa hivo maishayenu yote mengine muachie Mungu
ππNgoja niendelee kusoma commentsKaribu sana uchangie mamy kikao hooootttttyyy ........βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
Msitutishe jamaniNational Anthem anthem wanawake hawajui jinsi wanaume wanavyojua kuigiza mapenzi, mwanaume anaweza kukuonyesha anakupenda lakini kichwani kwake ni yeye na Mungu tu kufahamu anakuwazia nini, tena hasa mwanaume mwenye kipato, anaweza kukunulia perfume kali, breakfast Zanzibar kama Dizasta Vina anavyosema kwenye nyimbo yake ya hatia namba 2, na still hakupendi, na hii ndio part huwa inawa confuse sana wanawake.. wengi wakidhani kununuliwa vitu vya thamani ndio love yenyewe...
Ushauri wangu get to know the guy before you jump in the sack with him, ata pretend ili apate sexual favors from you and when they accomplish that, they move on to their next female, be careful..
View attachment 2347763
Mapenzi ni pasua kichwaUjue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again π
Note that pia!
Nipo Naendelea kusoma tena πππ
Unapotea sana Alayna au unalea vichanga π π πMim mzima kabisa baba pasta sijui wewe
"Kwa wanaume imezidi"How ?? When where???Yah,wanawake pia huwa tuna matatizo sana..Maneno maneno,fujofujo Kwa wingi hadi mtoto wa watu anachoka.
Japo Kwa wanaume imezidi.
Ngoja tuombe.Amiin
Anne muombee na wangu asiwe kivuruge
Mtakula tu, ndege wa angani hawalimi wala nini ila wanaishiWe usiniponzeπ€£
Sina hata kumi halafu niingie kwenye ndoa,nitakula mawe?