Hii pia nimeiandika shangazi ... Hii ya "Ndio mapito hayo"Polesana kunavitu haviepukiki na ndo mapito hayo
Kukosa Hela ni habari nyingine lakn mapenz kuna kumpenda mtu sana akikuvuruga unaweza kunywa Pepsi hata nneππStress za kukosa na hela na mapenzi zipi kipengele ππ
Ongezea ongezea madamHii pia nimeiandika shangazi ... Hii ya "Ndio mapito hayo"
Au niongezeee na "maisha razima yaendelee sweetmadame??ππ
Ameeeennn..Bwana ametamalaki
Hakuna aliye kama wewe Yesuuu
Noted sweetmadameππOngezea ongezea madam
Kitu kinachoweza nipa stress ni hela tu haya mengine hapana, ninayafanisha na ushuzi tu, unajamba harufu kidogo then inapotea ππKukosa Hela ni habari nyingine lakn mapenz kuna kumpenda mtu sana akikuvuruga unaweza kunywa Pepsi hata nneππ
KabisaPolesana kunavitu haviepukiki na ndo mapito hayo
Yaan acha tu muwe mnanialikaUnakwama wapi Auntie?
Hadi Junia anakushinda.
Mtu unakuta hana hela halafu mapenzi yana muendesha πππ wa kupimwa akili kabisa huyoHela hela hela
Za mapenzi ni za kujitafutia tu.
Naomba hiyo cake jamani πYaan acha tu muwe mnanialika
Yaan nakula cake nimekuwa km junia
Siku mambo ni kimwagilia moyo
View attachment 2347729
Weeeee Usinambie Mjomba!π€π€π€!Kitu kinachoweza nipa stress ni hela tu haya mengine hapana, ninayafanisha na ushuzi tu, unajamba harufu kidogo then inapotea ππ
Unafaa kuwekwa ndani mwanamke mapishi πππYaan acha tu muwe mnanialika
Yaan nakula cake nimekuwa km junia
Siku mambo ni kimwagilia moyo
View attachment 2347729
πππ Undie desa πππWeeeee Usinambie Mjomba!π€π€π€!
Kumbee!!!ππ
Naendelea kunote π
Yaaniπ€£Mtu unakuta hana hela halafu mapenzi yana muendesha πππ wa kupimwa akili kabisa huyo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! "Apimwe akili"Mtu unakuta hana hela halafu mapenzi yana muendesha πππ wa kupimwa akili kabisa huyo
Hela ni jawabu la kila kitu πππ sio mapenziYaaniπ€£
Tusilinganishe pesa na vitu vya ajabu.
Mtoto yupo shule...aache kusoma ati uende kuhangaika!
Lazima uchague kimoja.
Sauwasauwaa Anne!!πYaaniπ€£
Tusilinganishe pesa na vitu vya ajabu.
Mtoto yupo shule...aache kusoma ati uende kuhangaika!
Lazima uchague kimoja.
Umekuwa suguu eeh ππMm zamani nilikuwa kma Anne kulia Lia tu alafu unachokiliansasa na kile kisogo najiulizaga nilikwama wapi mm lakn sahiz roho imekuwa ngumu tutafuteni Hela jamn π
Tatizo la kwanza tu ni hela,sina pesa..Kukosa Hela ni habari nyingine lakn mapenz kuna kumpenda mtu sana akikuvuruga unaweza kunywa Pepsi hata nneππ
Wakubwa Imaniπ€£π€£π€£π€£Naomba hiyo cake jamani π