π Ila na wewe unafukua makaburii πYaani wewe ni chizi ujueπ€£
Eti wameng'ang''ania Uzi!Sikupenda.
Huwa naenjoy kusoma habari.
Hata ukucha tu au kidoleπ€Nalala kipenzi kesho. Hivi si naweza kuselfika hata mguu tuu
Wewe na mwenzio Post M-alone mnavyovitafuta mtavipata.π Ila na wewe unafukua makaburii π
hahahahaWanataka hadi tulieπ
Karibu tupige vyombohahahaha
Kweli kabisa Mkuu kabla hatujafa ,hatujaumbika.Kwa lugha nyingine ni Maharage yaliyofubaa..
Nakuonea wivu Mkuu ujue maana mimi kwa umri huo umeniacha mbali kiaina ila naonekana kizee mpaka mijimama inaniamkia..
Bado najifunza kukubali hali yangu maana hujafa hujaumbika π
Umeenda sana miaka 25/26, mtoto mbichi kabisa...Wakati ni mbibi wa miaka 40π
Sasa kama unatambua hilo using'ake ukiitwa team LBBTQ...Sio tusi hata, ni mavutio ya hisia za kimapenzi kwa mtu fulaan.
Vipi sasa kumjadili na kubishana mda wote, juu ya mtu fulan kwan mnataka nn kwake? Si mmeshautangazia umma na wamesikia??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna jingne tena?
Kila siku mada ni hiyo hiyo, khaaaaaaaah. Kwan lazima wote waelewe na kukubali wasikiacho?? Kila mtu aamini anavyoona yeye kwake ni sawaa.
Mmeishiwa vya kujadili?????? Khaaaaah
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2347110
Hahahaha aisee
hahahahaha.dah imenipita.ulikua unapiga vyombo gani na mitaa gani?Karibu tupige vyombo
hahahaha.itakua imesikika ndo maana inasifiwa ina mtoa mtu pangoniHahahaha aisee
Sauti niliyonao sasa ππ
mmmh..Wakati ni mbibi wa miaka 40π
Yuppπ Babe's hiyo si kande kabisa!
πππ[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2347110
Nieamka EUR inachonifanyia na pound wake π’π’National Anthem nimejaribu kukutumia PM ila kuna π Please reach out...