Nilipangiwaga shule ya Boyz tupu nikawaza yani nisome madume tupu siwezi
nikahama zangu nikaenda shule za cha wote secondary yani mpka unafurah kila siku uende shule
ukimkumbuka michezo ya scratching totoz wakat wa prepo
Watu wasio na uwezo bana hahaha
Wanachukia mwenzao kula vizuri!
Si wangekuwa chawa wako tu kazi inaisha.
Siku ya kwanza nimeenda hostel sikula.
Ilikuwa ni jioni,,chakula ni kande.
Kufika kesho nikakuta ugali na maharage.
Kumbe mzunguko ni huohuo masikini mimi.
Special diet ilikuwa viazi na nyama aisee sasa ilikuwa watu wachache kweli wanakula ...
Ukila special diet yabidi utafute mtu akuchukulie wali na ule nae viazi
Sasa hapo ndo maneno yanapoanzia kwa nini amechagua yule hahahaha
Nilipangiwaga shule ya Boyz tupu nikawaza yani nisome madume tupu siwezi
nikahama zangu nikaenda shule za cha wote secondary yani mpka unafurah kila siku uende shule
ukimkumbuka michezo ya scratching totoz wakat wa prepo
Watu wasio na uwezo bana hahaha
Wanachukia mwenzao kula vizuri!
Si wangekuwa chawa wako tu kazi inaisha.
Siku ya kwanza nimeenda hostel sikula.
Ilikuwa ni jioni,,chakula ni kande.
Kufika kesho nikakuta ugali na maharage.
Kumbe mzunguko ni huohuo masikini mimi.
Nahisi akili za utoto zile .. walijua kunichamba kweli . Mmoja nilikutana nae chuo mwanzoni sikutaka ushoga nae Ila Mungu huyu . Tuko marafiki hadi leo .