Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh pole , Chuo nafuu kidogo
Mimi shule niliyosoma walitutesa mno , maisha yalikuwa magumu , nilikuwa naonewa kisa upole wangu ... Hii imeniaffect hadi leo
 
Ooh pole , Chuo nafuu kidogo
Mimi shule niliyosoma walitutesa mno , maisha yalikuwa magumu , nilikuwa naonewa kisa upole wangu ... Hii imeniaffect hadi leo
πŸ˜‚Wale wajinga waliona fimbo ni sifa Dah!
Bora hata Olevel..A level ilikuwa kupigana kizembe kama ng'ombe Dah!Kufundisha chenga.
Nilitokea kuichukia shule...Hadi sasa nawaza sijui hata nilivuka vipi ile level

Hapo bado hujapambana na purukushani za Chakula.
Kula Kwa Foleni.
 
Shule hizi dah , sema ilinijenga visheria vyao ukikutwa umesimama na mwanaume iwe mita 2.

Ni Mungu tu aliutuvusha , Mimi nilikuwa na karoho kepesi nilikuwa nalia tu mie huku sina cha kufanya .
 
Shule hizi dah , sema ilinijenga visheria vyao ukikutwa umesimama na mwanaume iwe mita 2.

Ni Mungu tu aliutuvusha , Mimi nilikuwa na karoho kepesi nilikuwa nalia tu mie huku sina cha kufanya .
Huku serikalini walitugeuza watoto wa watu ng'ombe.
Mimi Mungu anisaidie nisije kupeleka mtoto shule za kimasikini na zenye mateso.

Sema mimi angalau nilikuwa siteseki sana maana nilijiwahi mapema kuchukua kibali Cha ugonjwa..
Adhabu sifanyi na kazi nilikuwa sifanyi.

Siku moja nilienda Asubuhi ya siku shule masomo yanaanzaπŸ˜‚J3.
Niliongozana na Shem wangu, Alikuwa Mwalimu pale..
Akawa ananiambia kuwa hawatawazingua kweli,nikasema sijui.

Zimepita siku2,mara Mkuu wa Shule amecharuka,anafukuza watu wakaite wazazi .Wale wote ambao hawakufika j2.
Fimbo zimepita,hapo mm nimechuchumaa pembeni,nashuhudia watu wanavyosulubiwa pale.
Na tunasubiri barua za kuondoka...
Alipofika shemejii akaja kunitoa,akasema huyu Mkuu aache upumbavu,nenda darasani.
 
Kuna nyingine ni private ila zinatesa watoto . Kama hiyo niliyosoma aisee mazingira yalikuwa magumu , nilipambana hadi nikahama.

Basi huko ulikuwa unavuta eeh , bahati hiyo shemeji alikuwako pembeni
 
Mambo gani ya kukumbushana shule mm nimesoma o level shule 6
serikalini nimesoma
Mission nimesoma
Adventist nimesoma
Islamic nimesoma
Kuna shule nilisoma wiki 2 tu nikafukuzwa
 
Kuna nyingine ni private ila zinatesa watoto . Kama hiyo niliyosoma aisee mazingira yalikuwa magumu , nilipambana hadi nikahama.

Basi huko ulikuwa unavuta eeh , bahati hiyo shemeji alikuwako pembeni
Private za manyanyaso tena?
Au seminari.

Nilikuwa na backup..Alikuwa ananiokoa sana.
Akasema mzazi wako nishafika nenda darasani.
Maana hata ningerudi nyumbani bado ningeenda hukohuko Kwa Dada.

Mwalimu aliyetufukuza ananikuta darasani anakasirika ila cha kufanya hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…