Selfika na JF: Snap it. Show it

Unakuwa zako tu spinster na kuenjoy life la usingle .. baaade umri ukienda unazaa katoto kako kamoja .

Hongera kwake , hii ya kusema ni nzuri sana . Kusaidiana ni vizuri sana .
Mabinti jamii inawabebesha mzigo mzito wa eti lazima kuolewa - tena katika age fulani. Ukifikia enlightment ya hivyo unayoisema aisee utaishi maisha yako in your own terms bila kufungwa na mikatale kengeufu ya kijamii. That's the way to go!
 
Ndo ukweli huo Sissy
Hakuna anaenimiliki kwa Sasa
Thank you for the compliment . Wewe ni mzuri sana na zigo kama lote
Wee acha aenjoy huo utramu sis huo usingo kwioo!! πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­! In cocastic voice!!
Mtoto mbichi kabisa mzuri hivo ukae singo acha hizoooo dear!πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Mabinti jamii inawabebesha mzigo mzito wa eti lazima kuolewa - tena katika age fulani. Ukifikia enlightment ya hivyo unayoisema aisee utaishi maisha yako in your own terms bila kufungwa na mikatale kengeufu ya kijamii. That's the way to go!
Shida Sana changamoto tunazopitia
As if kuolewa ni kazi rahisi zama hizi .
Mtu inabidi ukae zako , akitokea wa kubeba sawa .. Kama sivyo uishi mwenyewe tu
 
Huu wimbo nikiusikia tyuuh huwaa nashindwa kujizuia, yaan nalia machozi had kamasi,

Vanessa huu wimbo aliutoa kwa ajiri yangu, umeniliza leo.
 
Unakuwa zako tu spinster na kuenjoy life la usingle .. baaade umri ukienda unazaa katoto kako kamoja .

Hongera kwake , hii ya kusema ni nzuri sana . Kusaidiana ni vizuri sana .
Selfika Hakuna kukaa singo wewe tunakukabidhi Wigelekelo usitutanieeee ?? Au Tukupe Shimba ya Buyenze kabisa Putin ana micheps miaa atakupasua kichwa yule

Mdomo komaa
 
Mi mzee sana. Tushaawaachia haya mambo yenu vijana. We did our thang in the 70s and 80s....Our time is gone!
 
Hahahaha jamani
Babu huyo na Kaka ni Wige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…