Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha