Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,145
Nanisengenya eeh?ila alisema mwenyewe kwamba ana sauti nyembamba ila siyo mpole,, yes??
Nanisengenya eeh?ila alisema mwenyewe kwamba ana sauti nyembamba ila siyo mpole,, yes??
Basi futa kauli.Hapana auntie wangu jamaani
Sijaelewa walaNije wapi? Hospital? afu rudisha nundu Dada naona zinadiskasiwa humu.
Mefuta hadi commentBasi futa kauli.





Ati...!!!??? 

my
, mtafute hapa utampata,
![]()
Mke wa Pili (nyumba ndogo ) mara nyingi husababisha kifo cha mwanaume - JamiiForums
Baba yangu aliwah nambia ,Usije thubutu kumuacha mkeo kwa sababu zako binafsi , ukaoa mke mwingine, na usije thubutu Kumuongezea Mkeo ,Mke wa pili. Kiukweli wakuu, kama mtatoa muda wa kutafakar sanaaaa Baadhi ya Vifo vya wanaume wengi hapa Dunian hususan Tanzania Yetu,, Vifo vingi sana vya...www.jamiiforums.com
Kumbe wewe msukumaHilo jukwaa sijaingia kitambo sana...
Sasa hivi nipo nipo, walau hii sredi inanikeep around



Safi kabisa.Mefuta hadi comment
Hahaha sawa auntie View attachment 1256423
Kila nikiona kasichana kamodel kenye lips pana kameshika Heineken na blauzi ya brown yenye licheni najikuta nimeshout shunie.Hahaha sawa auntie View attachment 1256423
Sema kingine mpendwa![]()
Kumbe wewe msukuma
Ndio maana!
Ndio maana nini?Sijaelewa wala
Unabebewa mke mbele ya macho yako halafu unabaki kucheka tu.Ndio maana nini?
Unabebewa mke mbele ya macho yako halafu unabaki kucheka tu.
Hakuna wa kunibebea...namuaminiSio kosa lako, tatizo kabila.Hakuna wa kunibebea...namuamini
Hivi unajua hata koment nyingine huwa namjibia mimi...Sio kosa lako, tatizo kabila.
