Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Yule aliumia bana 😂😂 acha kutusagiaSasa kipa mwenyewe anasitasita kutoka golini akitoa boko anaanguka
Yule aliumia bana 😂😂 acha kutusagiaSasa kipa mwenyewe anasitasita kutoka golini akitoa boko anaanguka
All in all hongereni kwa points 3.Yule aliumia bana 😂😂 acha kutusagia
Cha muhimu 👏 🤗All in all hongereni kwa points 3.
Usiwaze. Sema na ww ni muda kinoma hujaselfikaCha muhimu 👏 🤗
Emu selfika basi chap
Anza wewe basi chap chapUsiwaze. Sema na ww ni muda kinoma hujaselfika
Tutaonana Kwa Mwamposa hukohuko.Sio poa ulivyonifanyia
hahahaha hatari snUmeona eeh
Nimepa zoom hadi chaji inakata
nmmh mungu muumbaji.sifa kwakeBoss leidee
Kuna namna namfananisha na Chakorii View attachment 2344722
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi huyu


Kwani wewe huwezi kwenda Kanisani?Mimi huyu
Utakuwa umekosea![]()
amen
Nilipitwa jamani 🥰 asanteeeee weka coloured basi mrembo mwenye flat tummy!
Alaikum Salaam Mkuu, habari za siku tele?Zee la mchongo
Samaleko![]()
Aisee..Mtume Kuna muujiza hapa...Enheee
Kesho naenda Kwa Mwamposa..
Sijawahi kwenda tangu nimefika mjini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pitia BoardRoom hapa Sinza tumwagilie Moyo huku tunatafuna Mbuzi Kamanda 🥂muda wa kulewa huu.mko wapi .tusitegeane ktk kulewa