Ni usiku tena muda wa kupumzisha mwili na akili, wengine huita nusu kifo kwakuwa unapolala fofofo hujui kwa hakika nini kinaendelea, ni muda huu ambapo kila mmoja kwa imani yake huomba ulinzi kwa Mungu au kile anachokiamini na kukiabudu!Hata Mimi mshana jr sipo mbali na wao au na nyie au na...