Hatuna hela kweli. Wee unadhani tungekuwa na hela tungehangaika humu....sasa upo na warembo pale samaki samaki table imejaa pombe huku warembo wakijichapa mafoto wee umekumbatia viumo tuu na kuyachapa chapa matako yao

Wapiii mzeee, nakuna kengere tu hapa... hapo sisogezi hata pua.. hela ya chapati na maharage kipengele.. mtoto kama huyo nitawezea wapi kumtunza mie mwenyewe nimeshindwa kujitunza na kujihudumia