Karibu tule ๐njaaa
nimelala ๐๐Karibu tule ๐
Watu mna vitisho ๐คฃUlipotea mchumba
Madam tumemiss zile lips fanya namna tafadhaliNishasahau kuselfika best
Nipo yaani
Thanks
myoyambendi jiranii
Salamu za usiku zikufikie huko ukipo ๐
Heee!!!
AbeeHeee!!!
Aisee, kumbe ndio mume. SafiiiiWe mume umeniita na huku๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Karibu tule mihogo na maboga..Abee
Thank you..Karibu tule mihogo na maboga..
Jiranii...wapi LenieWale sponsors wa vocha wako wapii ๐คฃ๐คฃ
Wajeee
Leo nitagombania haswaaa
Masaa 48 ya crdb ni mengi sanaa
Hujambo jirani, mimi niko powa..Huo mtoko umezua sintofahamu๐๐
Pole jirani...itarudi keshoJirani crdb wameniuaa ๐ hapa napumulia mashine
Kesho saa ngapiPole jirani...itarudi kesho
Jamani mbona tunabwagana hadharani tena mkeHa haaaa hapana jamani. mzabzab hawezi kuwa muwe wangu loh hapana kabisa nakataaa. Nilikuwa natania