myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
π€£π€£π€£π€£π€£ππππ boda anaweza bamizwa,, madogo wa chuga jau sanaaa
Eti ananiambia D muulize akakwambie kwann amekipeleka nje, Kwani mm sina πππ mtu namgharamikia kila kitu β¦
Nikamwambia relax
Then exhale
Bla bla kibao hapo kati, jamaa akapoa kidogo.. hadi huruma π akakaa chini
Akanambia nimekuelewa, nenda na Samahani kwa usumbufu
Nikasepa ππππ
Hii sauti kuna nyakati me mwenyewe siielewiπ
Kuna siku mama alinambia kaza sauti ukiongea na mm ππππ
π€£π€£Naona unataka kutekwa kihisia asubuhi asubuhiπ€£π€£π€£π€£
Shetani kashaanza kazi yake
Mh....Wana ulimbo itakuwa
Sina uzoefu ilaMh....
Bodaboda....Sina uzoefu ila
Nani huyo jamanππ
Jirani umeshindajeBodaboda....
Salama jirani, wewe je.Jirani umeshindaje
Me niko poa jirani, siku imeisha salamaSalama jirani, wewe je.
Imeisha salama jirani..Me niko poa jirani, siku imeisha salama
Safiiii sana jirani
Sijui kama atalala πππ
Bodaboda wamefanyaje jiraniImeisha salama jirani..
Chungeni bodaboda jiranππ
Mtumishi[emoji16]Mungu ni mwaminifu, nilitamani leo niwahi kuamka ili niwahi ibada...kweli Roho Mtakatifu ameniamsha mapema,utashangaa nachelewa Tena[emoji1787]
Nimeuona uzuri wako
Kule siasani kuna mtu amemtukana hivyo Mkuu wa mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba mzuri unashabikia nyumbu[emoji23]Gym time[emoji4]View attachment 2340860