Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa simu 4k nimatumizi mabaya ya madaraka, simu 720p pia sio mbaya kama ni cellular data, hata 360p unatazama vyema, kwa laptop 1080p inakaa vyema, kama ni unlimited wi-fi kama 8k ipo weka.....
Kula mapindi kama Lynda.com 1080 au 8k ndio inapendeza sasa, kila detaisl unaona. Simu zinatuongiza gharama tu mwisho wa siku nilicho ona kwenye smart nataka Google drive, na telegram na whatsapp mengine hayaga kazi ndio maana kuna kipindi huwa napiga chini smartphone natumia kitochi tu
 
Mwee mwee nimetoka kapa
Wacha tu niamini wananiibia yaishe😅
 
Mie hii likizo si nilisafiri nikafifanya kuangalia King'amuzi online kupitia simu weeee Siku mbili bando la wiki kwishaaa!! Nikikaa vibaya hata siku moja bando la wiki kwisha! Bora kilivokata hii juzi kuweka hadi Jumapili!
 
Mie hii likizo si nilisafiri nikafifanya kuangalia King'amuzi DSTV online kupitia simu weeee Siku mbili bando la wiki kwishaaa!! Nikikaa vibaya hata siku moja bando la wiki kwisha! Bora kilivokata hii juzi kuweka hadi Jumapili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…