National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mtu akishaiva programming kwenye cyber inakuwa mtelemko sanaNdio Cyber alisoma kama ziada, ila yupo vizuri zaidi kwenye programming..
Ok, ndio mkuu software engineer..Mtu akishaiva programming kwenye cyber inakuwa mtelemko sana
software Engi wachache wengi wanaishiaga kuwa ma programer au web devOk, ndio mkuu software engineer..
Kusoma inahitaji passion, lakini kuna fursa kubwa sana... na kazi hizi zenu inabidi kuji update kila siku, tech inakimbia kwa kasi, being a programmer usually means to become a life long learner you'll constantly be learning things, be prepared...software Engi wachache wengi wanaishiaga kuwa ma programer au web dev
Nipe huo mtama nikapikie uji..Ili niende jela?
Nilipita 823 KJ pale Msange๐Nipe huo mtama nikapikie uji..
Yaani bando la week unatumia kwa siku ni ajabu๐ฌ๐ฌAirtel nafikilia kuhama mtandao wao ila ni wapi kwenye angalau๐คท๐ผโโ๏ธNimeshatumia asilimia 75 uwii๐ฅบ
Airtel๐ฎ
YaaniYaani bando la week unatumia kwa siku ni ajabu๐ฌ๐ฌAirtel nafikilia kuhama mtandao wao ila ni wapi kwenye angalau๐คท๐ผโโ๏ธ
Ndio dawa hyo๐
Ruka sarakasi kwanza kama mimi niamini ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธNilipita 823 KJ pale Msange๐
Sipo tayari kupata kesi za mauaji๐
Nimegundua pesa ninazotumia kuunga bando la mchongo kila siku kwa mwaka nina nyumba ya vyumba sita๐ฌ๐ฌYaani
Tunaunga bando la wiki kila siku๐๐๐๐๐ฎ
Huko kwingine ndio Kuna upigaji zaidi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐๐๐Nimegundua pesa ninazotumia kuunga bando la mchongo kila siku kwa mwaka nina nyumba ya vyumba sita๐ฌ๐ฌ
Yaani kuna vitu unawaza ukiacha tu unatoboa kimaisha hasa kirusi bando ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐๐๐๐๐๐
Mimi mwenyewe nilifanya hii hesabu ya elfu2 Kwa siku...nikagundua nateketeza hela nyingi.
Sasahivi napambana nitafute VPN za bure...nasikia zipo ila zinakubali Kwa line ya Halotel.
Naenda kusajili๐
Majuzi voda nimejiunga bando la wiki asubuhi kesho yake mchana naambiwa umefikia kikomo uwiiii!!๐๐๐Yaani bando la week unatumia kwa siku ni ajabu๐ฌ๐ฌAirtel nafikilia kuhama mtandao wao ila ni wapi kwenye angalau๐คท๐ผโโ๏ธ
Ili nikupandishe presha uzimie kukwepa deni langu?Ruka sarakasi kwanza kama mimi niamini ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ
Hakika!!!Yaani kuna vitu unawaza ukiacha tu unatoboa kimaisha hasa kirusi bando ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Yaani mzungu bora angetuachia Nokia tochi๐ฌMajuzi voda nimejiunga bando la wiki asubuhi kesho yake mchana naambiwa umefikia kikomo uwiiii!!๐๐๐
Kuna Uzi wa VPN naufwatilia Kwa karibu.Yaani kuna vitu unawaza ukiacha tu unatoboa kimaisha hasa kirusi bando ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Point โ๏ธโ๏ธโฅ๏ธNimegundua pesa ninazotumia kuunga bando la mchongo kila siku kwa mwaka nina nyumba ya vyumba sita๐ฌ๐ฌ