bd unaendeleza kilinge mkuuZa kunifaa kilingeni
Unashangaa hapo
๐๐๐๐๐๐ Sio malamba hapo ccm
Nimeshaula umeishaaaPole shogaa jaman
Piga kazi, mshahara si unalipwa lakini๐๐
Wa mwezi ujao nialike tuule wote basi swahibaNimeshaula umeishaaa
Kazi zimeanza kuwa ngumu ๐๐๐
NikikumbukaWa mwezi ujao nialike tuule wote basi swahiba
Nitakukumbusha mimi wala usijaliNikikumbuka
Amina jirani, asante ubarikiwe pia jirani yanguImesha salama, Mungu akubarikie usiku mwema pia jirani..
Ndio maana unachoka na ndio kwanza j3๐คฃ๐คฃ๐คฃNimeshaula umeishaaa
Kazi zimeanza kuwa ngumu ๐๐๐
๐๐๐Kuna sehemu napitaga
Sina ba wala bee
Busy na issue zangu โ hata kusalimia sisalimii ๐
Kumbe wananisororaa tu wale wadada ๐๐
Leo nikaendapo kupata huduma flani..
Katikati ya huduma dada mmoja akanambiaโ sauti yako inaonyesha we ni mtu poa, nikamwambia kiasi tu ๐คฃ
Akasema tunakuonaga unaringa sanaa , me nilikuwa nishapanga siku nikipata nafasi ya kukuongelesha nikuambie upunguze maringo ๐
Nikasema alooo ๐๐ aibu ikanishika,, kucheka nataka, kukasirika nataka ๐๐ nikamwambia tu dada mm sijui Kuringa, ila siwezi kuongea na mtu nisiyemjua wala kumzoea ๐
Nikakumbuka yale yale โongea na watu usikie story zinazokuhusu ambazo hata we huna na huzijui๐คฃ๐คฃ Lenie
Aisee....jirani na sie tusikie sauti kidogo.Kuna sehemu napitaga
Sina ba wala bee
Busy na issue zangu โ hata kusalimia sisalimii ๐
Kumbe wananisororaa tu wale wadada ๐๐
Leo nikaendapo kupata huduma flani..
Katikati ya huduma dada mmoja akanambiaโ sauti yako inaonyesha we ni mtu poa, nikamwambia kiasi tu ๐คฃ
Akasema tunakuonaga unaringa sanaa , me nilikuwa nishapanga siku nikipata nafasi ya kukuongelesha nikuambie upunguze maringo ๐
Nikasema alooo ๐๐ aibu ikanishika,, kucheka nataka, kukasirika nataka ๐๐ nikamwambia tu dada mm sijui Kuringa, ila siwezi kuongea na mtu nisiyemjua wala kumzoea ๐
Nikakumbuka yale yale โongea na watu usikie story zinazokuhusu ambazo hata we huna na huzijui๐คฃ๐คฃ Lenie
Eeh tuisikie hiyo sauti iliyosifiwaAisee....jirani na sie tusikie sauti kidogo.
Atakuwa poa jirani...ngoja tusubiri, anaweza kupost voicenote..๐Eeh tuisikie hiyo sauti iliyosifiwa
Ila kwa comments zake me namuona ni mtu poa kweli
Aki sauti ikinivutia nitaiweka kama ringtone ya simu yangu๐Atakuwa poa jirani...ngoja tusubiri, anaweza kupost voicenote..๐
๐๐๐
Atakua anamalizia kuosha vyombo