National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Jamaa wana kazi nzuri. Kesho nitamuuliza ataniambia walifanyia Arusha sehemu gani.Kuna hawa jamaa wanajiita CAPITAL ZONE 4X4
wako Sakina Arusha, lakini wao wame base kwenye nissani patrol, landcruiser na landrover
Sinaaa shostiee !! Nahisi kama wee unao vileeee nakuja chembaaa! I sense that kabiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuulizaa wee unao, unipe mie eti jomoneeeee, lol
Mkuu kama wana uwezo wa body ya wrangler utakuwa umenisaidia sana.Jamaa wana kazi nzuri. Kesho nitamuuliza ataniambia walifanyia Arusha sehemu gani.
Kila siku nawala madafu yaani siwapiki[emoji23],Yaan mnoo dagaa wabichi na madafu wamejaaa mbweeeee, nimekuta mama amekaanga wengi, nimewalaaa wee bila ugali afu.
Na venye tupo watu wawili tyuuh, nitafaidi balaaaa,
Mbeya hakuna baridiii, narudia Mbeya haiifikii Songea kwa baridi, kule mie nilikua naoga ya baridi, na waka sikuwa nahisi sana, ila huku tobaaaaaaaah,Mie siogagi kila siku[emoji23],mwendo wa passport tu[emoji23]
Eti unaweza fananisha na la mbeya?
Nikiwa mbeya naoga ya baridi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaaaSinaaa shostiee !! Nahisi kama wee unao vileeee nakuja chembaaa! I sense that kabiaaa
Uongooo shosss!! Imani Yangu imegoma kabisaaa inaniambia kuna ubuyu tena ubuyu pambeeeπππ nakujaaa usintanieeee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaaa
Unawatafuna buree buree?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku nawala madafu yaani siwapiki[emoji23],
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaaahUongooo shosss!! Imani Yangu imegoma kabisaaa inaniambia kuna ubuyu tena ubuyu pambeee[emoji126][emoji126][emoji126] nakujaaa usintanieeee!!
Nipo njianiiii hapaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaaah
Mbeya naogaga ya baridi,ka mwenyeji kangu kanaogopa baridi hako,[emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya hakuna baridiii, narudia Mbeya haiifikii Songea kwa baridi, kule mie nilikua naoga ya baridi, na waka sikuwa nahisi sana, ila huku tobaaaaaaaah,
Baridi inapiga kwenye mfupa, kuna mtu nimeongea name kwa cm ananiuliza umemeza barafu mdomoni, yaan had kuongea kwa kutetemeka uwiiiiih.
Noumaaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakua naoga mchana tyuuh, usiku nehiiiiii.
Na jamaa wanaonekana wanajua kazi yao, zimenyooka sana gari zao. Ukiangalia hivi hadi uambiwe kwamba imefanyiwa modification kila unacho kiona kwenye OG kipo kwenye zile gariMkuu kama wana uwezo wa body ya wrangler utakuwa umenisaidia sana.
View attachment 2337808
Bure wale madafu sipikagi natafuna tu[emoji23],,dumla buku tano tu,Unawatafuna buree buree?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr voouchaaaaaaaa werayuuuuuu???? Unaitwa hukuuuMuite aje hapa haraka sanaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro usisahau.Na jamaa wanaonekana wanajua kazi yao, zimenyooka sana gari zao. Ukiangalia hivi hadi uambiwe kwamba imefanyiwa modification kila unacho kiona kwenye OG kipo kwenye zile gari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo njianiiii hapaaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku ni kibokoooo aseeeeeh, so kwa baridi hili uwiiiiih.Mbeya naogaga ya baridi,ka mwenyeji kangu kanaogopa baridi hako,[emoji23][emoji23][emoji23]
Songea kuna baridi bana
Eti mama kanambia buku 5 tyuuh dumla, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bure wale madafu sipikagi natafuna tu[emoji23],,dumla buku tano tu,