Kuna kitu nilikuwa najifanyia tafiti. Nini nisipo fanya napoteza nguvu na nini nikifanya napata nguvu. Kila mtu ana namna yake pekee yake ( hatupo sawa hata kidogo ). Wengine wanakuwa na nguvu kupitia weakness, wengine wanakuwa na nguvu kupitia strength zao. Baada ya mda mrefu nikaja kuona nguvu zangu zipo katika madhaifu yangu, na sio katika strength zangu. Kipindi flani nilikuwa nikikwama katika nadhaifu yangu nilikuwa nakata tamaa, ila siku hizi kupitia madhaifu yangu napata nguvu zaidi ππππ Apostle Paul , alikuwa na mwiba ( udhaifu ) ulio mpush kuwa karibu na Mungu mda mwingi kwasababu ulikuwa unamtesa na hata kutaka kudhoofisha juhudu zake, kumbe katika kufight na udhaifu ni kuwa karibu zaidi na Mungu kwake maana. Kuna watu breakthrough zao zipo katika madhaifu yao na sio streght zao