Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Maisha hayafananiWatu wanajilia vizuri banaaa weeee.. wanakamuliwa maziwa yooote anatoka mtu out mwepesi kama karatasi.. wengine hapa wazito kama mawe
Leo mlikoamkia na Wigeππππππ mlianza na MG naona mmehamia kwenye kukamuliwa Milk π!!Watu wanajilia vizuri banaaa weeee.. wanakamuliwa maziwa yooote anatoka mtu out mwepesi kama karatasi.. wengine hapa wazito kama mawe
Dada wa mapensi ananyonyesha watu wabayaaa π€£π€£π€£π Umenikumbusha dada wa mapensi π kweli muda ni mwalimu mzuri!
Karibu sana rafikiNafurahi kusikia hivo mpendwa![emoji3577]
watu wagunu kweli kweli kututunuku π€£π€£π€£Maisha hayafanani
Mimi hapa ni mzito
Hata hatua zinakita
Ti Ti Ti Ti
Ndio nimetoka kanisani nina njaa.. mie Naomba chapati mbili na chaiKaribu sana rafiki
Hii sifuti madam hii inabaki wajumbe washuhudie ujana wangu
ππ wengine tuna maziwa yetu ya ukwee ila wa kuyanyonya hawapoππππ nazi, mihongo, tende , asali, pweza, ngizi, mboga mboga , mazoezi kama yote , karanga lakini waaapi π€£π€£π€£ kama tunapiga gitaa kwa mbuziLeo mlikoamkia na Wigeππππππ mlianza na MG naona mmehamia kwenye kukamuliwa Milk π!!
Acha tuwatu wagunu kweli kweli kututunuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
chukua hii ππNdio nimetoka kanisani nina njaa.. mie Naomba chapati mbili na chai
kupunguza uzito πππAcha tu
Hapa nasubiri safari ya Burundi
Angalau huko nitapona
Sawa rafikiNdio nimetoka kanisani nina njaa.. mie Naomba chapati mbili na chai
Vijana mna hekaheka Walai! Vyote hivo vyanini sasa?? Majibu ukisaidiana na Wigelekeloππ wengine tuna maziwa yetu ya ukwee ila wa kuyanyonya hawapoππππ nazi, mihongo, tende , asali, pweza, ngizi, mboga mboga , mazoezi kama yote , karanga lakini waaapi π€£π€£π€£ kama tunapiga gitaa kwa mbuzi
Vijana mna hekaheka Walai! Vyote hivo vyanini sasa?? Majibu ukisaidiana na Wigelekeloππ wengine tuna maziwa yetu ya ukwee ila wa kuyanyonya hawapoππππ nazi, mihongo, tende , asali, pweza, ngizi, mboga mboga , mazoezi kama yote , karanga lakini waaapi π€£π€£π€£ kama tunapiga gitaa kwa mbuzi
Tunakula hadi mayoba[emoji3][emoji3] wengine tuna maziwa yetu ya ukwee ila wa kuyanyonya hawapo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nazi, mihongo, tende , asali, pweza, ngizi, mboga mboga , mazoezi kama yote , karanga lakini waaapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama tunapiga gitaa kwa mbuzi
Wabheja sana rafiki!Sawa rafiki
Ukisema wewe ni agizo
Haibishaniwi
Ikikupendeza shangazi πππ madini muhimu yote yapoVijana mna hekaheka Walai! Vyote hivo vyangu sasa?? Majibu ukisaidiana na Wigelekelo
Ndiokupunguza uzito [emoji16][emoji16][emoji16]
Kinga ya mwiliVijana mna hekaheka Walai! Vyote hivo vyangu sasa?? Majibu ukisaidiana na Wigelekelo