myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Good morning motivational speaker π
Ni Karani wa mchongo huyoNilihesabiwa π emu tulia
ππHizo sahani ulivyozipanga nimezipenda.
Good morning mchumba, umeamka mapema snπGood morning motivational speaker π
Mungu ni mwaminifu, nilitamani leo niwahi kuamka ili niwahi ibada...kweli Roho Mtakatifu ameniamsha mapema,utashangaa nachelewa Tenaπ€£Good morning mchumba, umeamka mapema snπ
Wahi kanisani uniombee na mimi nipunguze dhambiπMungu ni mwaminifu, nilitamani leo niwahi kuamka ili niwahi ibada...kweli Roho Mtakatifu ameniamsha mapema,utashangaa nachelewa Tenaπ€£
Tupo chiefLeo watu wamelala au bado wako busy na mizagumuano ya morning glory kukwichikwichi
Cha asubuhiπ¬π¬Leo watu wamelala au bado wako busy na mizagumuano ya morning glory kukwichikwichi
Amen SH na itakuwa kama unenavyoππKama Ezekiel alivyoambiwa na MUNGU itabirie uhai hii mifupa mikavu na kisha akaitabiria uhai ikaamka na kuwa jeshi kubwa,basi km wewe ni mfanyakazi wa kawaida (mifupa mikavu) hapo ofisini kwako basi nakutabiria kuwa utakuwa bosi mkubwa sn..sema Ameen
Chakorii is typing...Amen SH na itakuwa kama unenavyoππ
Amina..ikawe heri pia kwako mremboHabari za jumapili wapendwa.
Mkawe na siku iliyobarikiwa wakuu
Sasa unakuta mtu anatype weeeee Hadi unasema huyu jamaa anaandika mkeka wa maanaππ cha ajabu akipost unakuta kaandika mstati mmoja alafu unabaki kujiuliza ina maana muda wote ule ndy alikuwa anaandika haya maneno mawili Tu?? π πKweli jf kama whatsap kificho ndio kitu hakunaππ
mbona mapema, cha asubuhi hakipo ? maana tujuavyo kile kina kurudisha on bed ππAmen SH na itakuwa kama unenavyoππ
We jamaa aseeπ π ..wengine wanaamka saa kumi usiku kwenda kupambanambona mapema, cha asubuhi hakipo ? maana tujuavyo kile kina kurudisha on bed ππ