Mimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji
Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama
Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano