Doon decided..
Doon without undue influence i have decided to get marry as soon as possible by next month...
Kuna binti nimefahamiana naye a month now, nadhani anatosha kuvaa cheo cha mke wangu...
Ndoa yetu tungependelea ifungwe na Mchungaji wa Kiroho na iwe simpo tu yaani ikiwezekana ifungiwe ofisini kwake baada ya hapo maisha yaendelee... Nieleweke Kuna sabb za msingi za kutaka hivi...
Hata hivyo, nipo kwenye dilemma juu ya applicability ya mfumo wa ndoa tunayotaka na uwezekano wa kupata Mchungaji wa kutufungisha haraka hivyo maana mimi si mshirika wa kanisa lolote...
Any assistance will properly be appreciated. At least niishi naye kihalali as per prevailing standards π