Jamaa Voda wapo njema kwa kila eneo, zamani za kale nilikuwa na wish sana kufanya kazi pale kama IT .. ila ndoto zikafaaa baada ya kuanzia Airtel 😃😃 kama walinivuruga mawazo yangu napo nilifanyaha miezi sita nikashindwa kazi

Nazima data
Na nishajitoa kwenye huduma zote za kukata hela.
Last time walipokata nikawapigia. .wakaniambia ngoja wachunguze kwanini hela imekatwa.
Nilishaachana nao maana ni upumbavu nishapiga bajeti Elfu 2 yangu niunge kifurushi cha siku 3 halafu wananichania mkeka🥺